Hussen Msomali: Untouchable Mafia

Usiropoke ndugu. Angalia hizo picha na mkafanye uchunguzi. Huyu jamaa aliitwa TRA na aligoma. Matokeo yake Meneja TRA kinondoni alimfuata ofisini kwake
Mambo mengine nistori tuu za mtaani eti uitwe TRA ugome meneja akufuate kivipi tens awamu hii?
Kuhusu ukuta nibora muende mahakamani kisha
Usiropoke ndugu. Angalia hizo picha na mkafanye uchunguzi. Huyu jamaa aliitwa TRA na aligoma. Matokeo yake Meneja TRA kinondoni alimfuata ofisini kwake
Wewe ndiyo unaonekana kuropoka!! Awamu hii wazito wamegeuzwa mashetani sembuse hako kasomali! Kuhusu TRA haiwezi kuwakweli nivistori vya mtaani hivyo na la ukuta simuende mahakamani kisha mseme hamjasaidika huko?
Lazima tupime jambo kiakili pandezote tusirukie kumponda MTU kisa msomali naninyi mnanyanyaswaje na msomali kwenye nchi yenu?? Woga wanini mfateni mummindi mmalizane kiume msilielie kiboya hamvutagi bangi nini??
 
Ukiwa msomali halafu unajiita Mafia na bado serekali inakuangalia tuu...ujue kuna shida sehem
 
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
Tatizo hii issue/ ishu umeileta kimajungu na kichonganishi zaidi na kumtakia mabaya mhusika au mhalifu. Linaweza kuwa tatizo la kawaida lakini unavyoliweka na kumhusisha rais, looh kuna mushikeli hapo.

Waliotishiwa wameripoti wapi?

Walioharibiwa mali zao wameripoti wapi?

Wewe pia umeripoti wapi, au hapa JF ndio kituo sahihi kuripoti.

Hebu nendeni mkatoe taarifa Polisi na kwa mkuu wa Wilaya ikibidi muone ikiwa ataendelea kukaidi.

Magufuli hana ushikaji wa kijinga vile kama ulivyoeleza.
 
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
Ukisikia wivu na majungu ndio wewe.
Tafuta hela wacha uongo na majungu.
 
Unajiita mafia alafu unashindwa kuweka nondo kwenye ukuta!!!! Huyo ni haramia tu kwenye umafia
 
Mleta uzi wewe pia unamuogopa!
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
 
Usiropoke ndugu. Huyu jamaa aliitwa TRA na aligoma. Matokeo yake Meneja TRA kinondoni alimfuata ofisini kwake
Ina maana meneja wa TRA amewekwa mfukoni na msomali. Heheheee.
Mamboyakisasa naye anaweza akamuita au akaitwa?
 
Utasikia yupo kwenye system...
Ila uhalisia Kampeni zinammaliza sanaa
Kipindi niko TRA nilikwenda kudai Kodi sehemu. Kufika nikamkuta mkurugenzi tukasalimiana halafu nikamwambia kilichonipeleka.
Akaniambia kwa kujiamini asilimia Mia na ushee.
"Kawaambie mabosi wako wwaliokutuma kwamba nilitoa hela nyingi sana wakati wa kampeni"
Niliowaambia mabosi niliona nao walianza kupanik na kuanza kujiona Mimi ndio nilijipendekeza kwenda pale.
Wakishakula pesa yako utawafanya unavyotaka. Hata mskitini au kanisani
 
Usiropoke ndugu. Huyu jamaa aliitwa TRA na aligoma. Matokeo yake Meneja TRA kinondoni alimfuata ofisini kwake
Ni kazi mmojawapo ya Tra kufuata nyumbani au ofisini
Kamishna ana mamlaka ya kuingia ofisini au nyumbani na kutwaa nyaraka na vitendea kazi Kama Kuna tatizo la ukwepaji Kodi
Kwa hiyo kuitwa Tra sio tatizo,je Kama aliitwa kuchukua sticker za income tax?
 
Lakini sijajua unaunganishaje ukuta kuanguka/ kuangukia mali zako na Umafia...Hospital ya Sanitas na yenyewe umeitaja huku ukijua ama kutojua Yote sawa kwamba suala hapa ni ukuta kuangukia mali zako je Hospital imehusikaje??

why unasema ana deal na Rais umemreport au umetoa taarifa popote na hatua hazijachukuliwa??? au ni wewe tu unajitungia story mtandaoni umkomoe mtu.??

simjui huyu mtuhumiwa ila kama una issue nae fuata sheria za nchi..fuata sheria za nchi kulalamika usikusanye vimaneno tu....
Kama ni habari ya kutunga tu anamkomoaje mtu?? Kabla ya kufanyia kazi, habari si itafanyiwa uchunguzi na mamlaka husika na kujulikana kuwa ni ya kutungwa!
 
Kama kalipia Mkandarasi anaetambuliwa na bodi ya ukandarasi, na consultant alikuwepo na wakafanya mikataba kamili ya kandarasi ya ujenzi, kosa haliwezi kuwa la Mteja bali la mjenzi anaetambuliwa na serikal
Kwahiyo ni uongo ukuta hauja anguka na kuangukia mali za watu na kuziharibu kama picha na video zinavyoonyesha ?
 
Back
Top Bottom