Hussen Msomali: Untouchable Mafia

Mambo mengine nistori tuu za mtaani eti uitwe TRA ugome meneja akufuate kivipi tens awamu hii?
Kuhusu ukuta nibora muende mahakamani kisha
Wewe ndiyo unaonekana kuropoka!! Awamu hii wazito wamegeuzwa mashetani sembuse hako kasomali! Kuhusu TRA haiwezi kuwakweli nivistori vya mtaani hivyo na la ukuta simuende mahakamani kisha mseme hamjasaidika huko?
Lazima tupime jambo kiakili pandezote tusirukie kumponda MTU kisa msomali naninyi mnanyanyaswaje na msomali kwenye nchi yenu?? Woga wanini mfateni mummindi mmalizane kiume msilielie kiboya hamvutagi bangi nini??
Tatizo lenu mnamezeshwa ujinga bila kuutafakari nanyi mnameza! ...eti awamu hii..kwani ina nini wanaumizwa Chadema tu Sababu hawataki kupigishwa magoti lkn wengine wote maisha yanaendelea kama kawaida

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwel hata Kama,.Hali iwe ngum vipi Bado Kuna watakaokula bata kawaida
 
Back
Top Bottom