Hussein Bashe: Nimemwandikia Rais barua kumjulisha Nzega tuna tatizo la maji

wilcoxon

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
1,094
2,831
Hussein Bashe (Mbunge wa Nzega Mjini, amelalamikia tatizo la maji jimboni kwake. Haya hapa chini kayaandika kwenye mtandao wa Twitter;

"Waziri wa Maji ,Waziri wa Nishati na Waziri wa fedha wachukue hatua kutatua tatizo la Chanzo cha maji Nzega kukatiwa Umeme na Tanesco ,Wananchi wa Jimbo hawadaiwi bili za maji malimbikizo haya ni Uzembe wa Central Gvt kwa miaka mingi kutopeleka fedha za Utilitie"

"Leo nzega hatuna maji wananchi wanalipa bili zao nimefanya mawasiliano na Wizara ya Maji,Tamisemi na Tumeandika barua kwenda Hazina lakini jambo hili halijapata suluhu umefika wakati Serekali kutoadhibu wananchi bcs of ur bureaucracy nimeamua kumuandikia Barua Mh Rais"

"Nzega Town council ni Council mpya na Mamlaka ya maji ni Mamlaka class three ambayo inahitaji kupata subsidies kutoka Central gvt hakuna subsidie ya Utilities jambo hili nimeishakutana na Wizara zote tatu juu ya Tatizo hili hakuna suluhu" Kitila Mkumbo

"Wananchi wa Nzega Town council hawadaiwi bili za Maji Serekali isiadhibu wananchi kwa uzembe Wao soln OC ya Utilities ipatikane na Madeni yaliyotokana na Serekali kutopeleka OC kwa miaka mingi huko nyuma yalipwe kama ambavyo tulikubaliana Mwezi oktoba"
Screenshot_20180123-095639.png
 
Wabunge kama nyie safi hivyo tulivyowatuma sio miaka 7

alafu uache kukosoa tu wape wanainchi wako maendeleo hawakukutuma ukakosoe ili uonekekane Nuhu hapana wanahitaji maji, umeme, barabara, hospitali, dawa, pembejeo na nk
 
1. Umeongea na mamlaka zinazohusika na ukaambiwa nn? Au ndo kuchonganisha wenzako ili ww uonekane unapiga kazi? haya sasa mamlaka ya maji wilaya, mkoa, wizara wote wameshindwa. Usijali watatumbuliwa ili ww upate uwaziri.
2. Kwa nn usingeenda polisi/magereza ili wafungwe maana hivyo vyombo ni vyenu kama ulivyosema kipindi fulani kwenye uchaguzi wa marudio ya udiwani kata 43? Kumbe hata nyie kuna muda mnalia lia kama wapinzani.
 
You did good.

But i dont think kama hii mifumo ya kipuuzi chama kinachoitwa ccm itaweza kuimaliza.

Nyinyi ndiyo mlioidumisha, YOU CAN NOT ELIMINATE THEM.....NEVER.
Hussein Bashe (Mbunge wa Nzega Mjini, amelalamikia tatizo la maji jimboni kwake. Haya hapa chini kayaandika kwenye mtandao wa Twitter;

"Waziri wa Maji ,Waziri wa Nishati na Waziri wa fedha wachukue hatua kutatua tatizo la Chanzo cha maji Nzega kukatiwa Umeme na Tanesco ,Wananchi wa Jimbo hawadaiwi bili za maji malimbikizo haya ni Uzembe wa Central Gvt kwa miaka mingi kutopeleka fedha za Utilitie"

"Leo nzega hatuna maji wananchi wanalipa bili zao nimefanya mawasiliano na Wizara ya Maji,Tamisemi na Tumeandika barua kwenda Hazina lakini jambo hili halijapata suluhu umefika wakati Serekali kutoadhibu wananchi bcs of ur bureaucracy nimeamua kumuandikia Barua Mh Rais"

"Nzega Town council ni Council mpya na Mamlaka ya maji ni Mamlaka class three ambayo inahitaji kupata subsidies kutoka Central gvt hakuna subsidie ya Utilities jambo hili nimeishakutana na Wizara zote tatu juu ya Tatizo hili hakuna suluhu" Kitila Mkumbo

"Wananchi wa Nzega Town council hawadaiwi bili za Maji Serekali isiadhibu wananchi kwa uzembe Wao soln OC ya Utilities ipatikane na Madeni yaliyotokana na Serekali kutopeleka OC kwa miaka mingi huko nyuma yalipwe kama ambavyo tulikubaliana Mwezi oktoba"
View attachment 682790
 
Hapa ndipo penye tatizo ambalo halihitaji rocket science kulitatua,tuna zaidi ya miaka 50 ya kujitawala ni muda mrefu mno wa kuweza kupiga atua hasa katika hizi social services,ni wajibu wa serikali kutoa hizi huduma,ni haki ya kikatiba kwa mwananchi kuwa na uhakika wa kupata maji safi na salama,inasikitisha mno kuona nchi ambayo Mwenyezi Mungu katujalia mno bado huduma hii ni shida,tumezungukwa na maziwa yenye fresh water zaidi ya matatu,mito mingi tu na mvua zinazonyesha,MH.mb tumia rasilimali zako hapo kwenye jimbo lako ,usilalamike mno bila kuonyesha wewe umejitahidi kiasi gani,motisha wakazi wako wachimbe mabwawa makubwa ya kukusanya maji ya mvua kuzunguka jimbo lako labda mawili tu,jenga karibu na chanzo cha maji kama mto na weka machine za kusafisha haya maji na kuyasukuma kwa wapiga kura wako,nchi inapoteza maji mengi ya mvua kwa sababu hatuna mipango ya kuvuna haya maji,na tuelewe kuwa MAJI ni adimu ni vema tukaanza now,nchi na nchi zitaingia vitani kwa ajili ya maji,tuamke now ili tujiandae mapema.
 
Kule Kibamba mbunge wake alishaandika barua nyingi kwenda Ikulu. Alifanya hivyo likiwa bado jimbo moja la Ubungo. Labda Bashe atatengua kitendawili hiki.

Tatizo la maji liko kila jimbo hapa nchini. Suluhu yake siyo kwa jimbo moja moja ambalo mbunge wake anapiga sana kelele. Bali mkakati mzuri unaotekelezeka na kusimamiwa vyema.
 
Wabunge kama nyie safi hivyo tulivyowatuma sio miaka 7

alafu uache kukosoa tu wape wanainchi wako maendeleo hawakukutuma ukakosoe ili uonekekane Nuhu hapana wanahitaji maji, umeme, barabara, hospitali, dawa, pembejeo na nk
Yaani umeanza vizuri ukaishia pa ovyo!
 
1. Umeongea na mamlaka zinazohusika na ukaambiwa nn? Au ndo kuchonganisha wenzako ili ww uonekane unapiga kazi? haya sasa mamlaka ya maji wilaya, mkoa, wizara wote wameshindwa. Usijali watatumbuliwa ili ww upate uwaziri.
2. Kwa nn usingeenda polisi/magereza ili wafungwe maana hivyo vyombo ni vyenu kama ulivyosema kipindi fulani kwenye uchaguzi wa marudio ya udiwani kata 43? Kumbe hata nyie kuna muda mnalia lia kama wapinzani.
Kama hujui kitu kaa kimya. Bashe si mjinga kiasi hicho unachofikiri wewe. Leo ni siku ya nne miji inayopata maji toka mradi Wa ziwa Victoria ikiwemo Shinyanga haijapata maji kutokana na kile kilichotangazwa na mamlaka ya maji kuwa ni kutolipwa kwa bili ya umeme kwenye chanzo huko Mwanza. Lakini haya yakifanyika wananchi ambao ndo wateja hawadaiwi. Sasa unamuadhibu vipi mtoto kwa kosa la mzazi? Ndo Bashe anacholalamikia.
 
Hussein Bashe (Mbunge wa Nzega Mjini, amelalamikia tatizo la maji jimboni kwake. Haya hapa chini kayaandika kwenye mtandao wa Twitter;

"Waziri wa Maji ,Waziri wa Nishati na Waziri wa fedha wachukue hatua kutatua tatizo la Chanzo cha maji Nzega kukatiwa Umeme na Tanesco ,Wananchi wa Jimbo hawadaiwi bili za maji malimbikizo haya ni Uzembe wa Central Gvt kwa miaka mingi kutopeleka fedha za Utilitie"

"Leo nzega hatuna maji wananchi wanalipa bili zao nimefanya mawasiliano na Wizara ya Maji,Tamisemi na Tumeandika barua kwenda Hazina lakini jambo hili halijapata suluhu umefika wakati Serekali kutoadhibu wananchi bcs of ur bureaucracy nimeamua kumuandikia Barua Mh Rais"

"Nzega Town council ni Council mpya na Mamlaka ya maji ni Mamlaka class three ambayo inahitaji kupata subsidies kutoka Central gvt hakuna subsidie ya Utilities jambo hili nimeishakutana na Wizara zote tatu juu ya Tatizo hili hakuna suluhu" Kitila Mkumbo

"Wananchi wa Nzega Town council hawadaiwi bili za Maji Serekali isiadhibu wananchi kwa uzembe Wao soln OC ya Utilities ipatikane na Madeni yaliyotokana na Serekali kutopeleka OC kwa miaka mingi huko nyuma yalipwe kama ambavyo tulikubaliana Mwezi oktoba"
View attachment 682790
Kwakeli inasikitisha sana leo wananchi awana maji kwa sababu tu mamlaka ya maji unadaiwa na shirika la umeme, wakati uchaguzi mdogo wa kinondoni unatumia zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi uwo, tuseme hii ni akili au ndo shithole.....
 
Ni shithole mkuu, halafu pro lumumba wanaimba hapa kazi tu kwakweli bado tunasafari ndefu
 
Back
Top Bottom