Hussein Bashe: Nimekunwa na nyaraka za Tundu Lissu

john agrey

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
1,280
2,079
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), ameeleza kukunwa na nyaraka na maandiko ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, yanayohusu madini ya Tanzania. Akichangia bungeni Bashe alisema baada ya kusoma maandiko hayo hadi usiku mnene, alibaini Tanzania imeibiwa vya kutosha kwenye sekta hiyo.

“Jana (juzi) nilienda kumuomba Lissu anipe yale maandiko yake na alinipe nimeyasoma sana na hadi saa tisa usiku nilikuwa nayasoma maandiko yale ukisoma maandiko ya Jaji Bomani na kesi ambayo yeye Lissu aliisimamia mwaka 2006, nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu sana.

Bunge limefanya makosa na huko nyuma tumefanya makosa, sasa tumepata mtu (Rais Magufuli) wa kupambana na rasilimali za nchi hii tumuunge mkono Watanzania," alisema.
 
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), ameeleza kukunwa na nyaraka na maandiko ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, yanayohusu madini ya Tanzania. Akichangia bungeni Bashe alisema baada ya kusoma maandiko hayo hadi usiku mnene, alibaini Tanzania imeibiwa vya kutosha kwenye sekta hiyo. “Jana (juzi) nilienda kumuomba Lissu anipe yale maandiko yake na alinipa… nimeyasoma sana na hadi saa tisa usiku nilikuwa nayasoma maandiko yale.......ukisoma maandiko ya Jaji Bomani na kesi ambayo yeye Lissu aliisimamia mwaka 2006, nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu sana. Bunge limefanya makosa na huko nyuma tumefanya makosa, sasa tumepata mtu (Rais Magufuli) wa kupambana na rasilimali za nchi hii tumuunge mkono Watanzania," alisema.
Tunaoelewa tumeelewa amemwambia magufuli amsikilize TUNDU LISSU.
 
Duh,Hatar lisu ninomma
Kwani unoma wa lidu hapa uko wapi, hakuna jipya alilofanya isipokuwa kubeba maonibya tume mbalimbali na kuanza kisoma bungeni, ili akamilishe ujinga wake wa kutetea wageni. Haya sasa wamekuja wenyewe kuomba radhi Mwambie Lisu awashauri waende mahakamani. Inawezekana lisu siyo mtanzania ni mjaluo huyu hata rafidhi yake siyo ya kinyatulu kabisa.
 
Duh,Hatar lisu ninomma
Kwani unoma wa lisu hapa uko wapi, hakuna jipya alilofanya isipokuwa kubeba maonibya tume mbalimbali na kuanza kisoma bungeni, ili akamilishe ujinga wake wa kutetea wageni. Haya sasa wamekuja wenyewe kuomba radhi Mwambie Lisu awashauri waende mahakamani. Inawezekana lisu siyo mtanzania ni mjaluo huyu hata rafidhi yake siyo ya kinyatulu kabisa.
 
Tutashitakiwa na kulipa hela nyingi sana bwahahahahahaha
zero ya CCM nyingine hii, si mmepoa wenyewe mngeendelea kuwavimbia mliowapa madini kisheria.

Back
Top Bottom