The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,946
hapanaKwani ni jinai kuwa hivyo?
hapanaKwani ni jinai kuwa hivyo?
"Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM huwezi kumuachia mtoto wa jirani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yenu na huo ndiyo msimamo wangu lakini wazee mkisema baba eeh wewe nenda kawa mzee wa ndiyo mzee, zikija vuta saini nenda zako mtaani basi nitafanya hivyo kwa sababu nitakula good time kama wabunge wengine" alisisitiza Bashe
La 7! Nkamia wa TBC?Tofauti yao kubwa ni kwamba Bashe ni msomi anabebwa na vyeti na Nkamia ni Std VII anabebwa na uwepo wa chama.
Humphrey anakuona
Utasikia ni mhamiaji haramuDaahh... Huyu hana tuhuma lakini siku akitoka ccm tutaskia mengi!
Anayewafuga kondoo zake anawajua,Akitoka tuu CCM basi ataambiwa ni lijizi na fisadi
Yule aliyesema Mkuluu aongezewe muda wa kuongozaMkuu unazungumzia Nkamia yule Zuzu?
Aisee.. Hawakosagi la kusema hawa!Utasikia ni mhamiaji haramu
Huyu akitoka utasikia amekamatwa na watu wa uhamiaji ati siyo raiaAkitoka tuu CCM basi ataambiwa ni lijizi na fisadi
Kwanini bushe asigombee kwa babu yakeMbunge wa Nzega Mjini(CCM) Hussein Bashe amefunguka na kusema wakati anaomba kura na Mhe. Rais Dkt. Magufuli mwaka 2015 alimwambia kiongozi huyo kuwa yeye hawezi kwenda bungeni na kuwa kati ya wale wabunge wa kusema 'Ndiyo' mzee.
Bashe amesema hayo jana alipokuwa akiongea na wananchi wa jimbo la Nzega akiwaeleza mambo mbalimbali ambayo yamefanyika katika miaka miwili jimboni hapo toka alipochaguliwa kuwa Mbunge Oktoba 25, 2015.
"Mimi nikienda Bungeni nikisimama naposema nasema kweli kwa sababu kiapo cha CCM kinasema 'daima nitasema kweli unafiki kwangu mwiko' huo ndio msimamo wangu na siku naona kura na Mhe. Rais nilimwambia Rais jukwaani kwamba Mhe. Rais mimi siendi kuwa Mbunge wa ndio mzee bali mimi naenda kutimiza wajibu wangu na wajibu wangu ni kuisimamia, kuishauri na kuikosoa serikali" alisema Bashe
Aidha Mbunge huyo alisema ataendelea kubaki na msimamo wake huo wa kuisimamia serikali labda mpaka wazee wa jimboni kwake wamshauri vinginevyo ili na yeye akiingia akae kimya avute pesa na kutulia kimya.
"Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM huwezi kumuachia mtoto wa jirani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yenu na huo ndiyo msimamo wangu lakini wazee mkisema baba eeh wewe nenda kawa mzee wa ndiyo mzee, zikija vuta saini nenda zako mtaani basi nitafanya hivyo kwa sababu nitakula good time kama wabunge wengine" alisisitiza Bashe
Mbali na hilo Bashe amewaahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa wanapoelekea mwaka wa 2020 kuwa changamoto ya maji, umeme itakuwa historia jimboni hapo na kusema katika suala la elimu watahakikisha wanafika kiwango ambacho watajivunia.
EATV
Kwani huyu mkulu mahakama yake ya mafisadi imeishia wapi?Kama kweli mnasema kweli daima watajeni hao mafisadi na mawakala wao na muwatoe ndani ya ccm muache kulalama pindi wanachama wanapoondoka.Hivi kwani MTU akishatoka ccm ndo hujulikana fisadi wakati akiwamo huwa hamuwajui?Acheni unafiki
Hao wanaochomoka CCM hawajasoma hiyo kadi kwa nyuma? Andika kwa kutumia akili...kiapo chetu nitasema kweli daima,kipo nyuma ya kadi,mafisadi na mawakala wao watachomoka mmoja baada ya mwingine