Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amemuasa Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kuwa, ni rahisi wao kupigania kuleta mabadiliko ndani ya CCM (kama Chama Tawala) badala ya kuyapata mabadiliko hayo nje ya Chama hicho.
Bashe alimwambia Zitto kuwa, ni vigumu kuyapata mabadiliko kwenye Upinzani coz kuna Mgogoro wa kimaadili, kimfumo na kiitikadi. Kutokana na mgogoro huo, umepelekea kuwepo kwa wapiganaji wa mabadiliko ya kweli wachache.
Je, Bashe anasema kweli kuwa kuwa, Upinzani umejaza watu wanafiki tu lakini hawana dhamira ya kweli ya mabadiliko kutokana na kutokuwepo kwa maadili na itikadi inayoeleweka?
Je, kutokana na maneno ya Bashe, ndo maana tunaona kila siku Viongozi wengi wanahamia CCM kutoka Upinzani?