Hussein Bashe adai hawezi kujiunga na Upinzani kwa kuwa huko kuna wapenda mabadiliko ya kweli wachache. Adai Upinzani una mgogoro wa kimaadili...

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amemuasa Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kuwa, ni rahisi wao kupigania kuleta mabadiliko ndani ya CCM (kama Chama Tawala) badala ya kuyapata mabadiliko hayo nje ya Chama hicho.

Bashe alimwambia Zitto kuwa, ni vigumu kuyapata mabadiliko kwenye Upinzani coz kuna Mgogoro wa kimaadili, kimfumo na kiitikadi. Kutokana na mgogoro huo, umepelekea kuwepo kwa wapiganaji wa mabadiliko ya kweli wachache.

Je, Bashe anasema kweli kuwa kuwa, Upinzani umejaza watu wanafiki tu lakini hawana dhamira ya kweli ya mabadiliko kutokana na kutokuwepo kwa maadili na itikadi inayoeleweka?

Je, kutokana na maneno ya Bashe, ndo maana tunaona kila siku Viongozi wengi wanahamia CCM kutoka Upinzani?

IMG_6152.jpg
 
Hizi siasa
Natumaini wanawakumbuka wapiga kura wao kumsaidia Raisi wetu, katika hapa kazi tu ikiwemo nambali moja wananchi na nchi..
 
Upinzani wa hapa kwaajiri ya kupambana kupata wabunge wengi ili viongozi wale ruzuku kama chanzo chao cha mapato
 
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amemuasa Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kuwa, ni rahisi wao kupigania kuleta mabadiliko ndani ya CCM (kama Chama Tawala) badala ya kuyapata mabadiliko hayo nje ya Chama hicho.
Bashe alimwambia Zitto kuwa, ni vigumu kuyapata mabadiliko kwenye Upinzani coz kuna Mgogoro wa kimaadili, kimfumo na kiitikadi. Kutokana na mgogoro huo, umepelekea kuwepo kwa wapiganaji wa mabadiliko ya kweli wachache.
Je, Bashe anasema kweli kuwa kuwa, Upinzani umejaza watu wanafiki tu lakini hawana dhamira ya kweli ya mabadiliko kutokana na kutokuwepo kwa maadili na itikadi inayoeleweka?
Je, kutokana na maneno ya Bashe, ndo maana tunaona kila siku Viongozi wengi wanahamia CCM kutoka Upinzani?

View attachment 832818
Wenye nchi walisema kuwa yeye sio mtanzania
 
Kama kauli hizi za kilevi wa madaraka zinatokea kwenye chama chake na yuko kimya, je anaweza kuhimili nguvu ya dola akiwa upinzani
tapatalk_1530692801647.jpeg
 
Kwa kweli aache unafiki. Huyu ni mmoja wa wanaohamasisha uonevu wa serikali dhidi ya upinzani.
 
Asiogope, 2020 atalazimishwa kujiunga. Yeye,Nape,Mwigulu na Makamba hizi ni kelele za mwisho wakati wa kukata roho.
 
Je, Bashe anasema kweli kuwa kuwa, Upinzani umejaza watu wanafiki tu lakini hawana dhamira ya kweli ya mabadiliko kutokana na kutokuwepo kwa maadili na itikadi inayoeleweka?

Unamlisha Bashe maneno. Bashe ni CCM nje ndani-ni wale wale hata kama anauma lakini anapulizia zaidi hasa kwenye kudhoofisha demokrasia, tumemsikia akisema POLISI NI WAO, kauli ile hakuteleza bali ali imaniisha. Naona wana mkakati wa kuua ndege wawili kwa mpigo-kwanza ACT ife kabisa, pili dhoofisha zaidi upinzani. Labda Zitto yupo sokoni, time will tell.
 
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amemuasa Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kuwa, ni rahisi wao kupigania kuleta mabadiliko ndani ya CCM (kama Chama Tawala) badala ya kuyapata mabadiliko hayo nje ya Chama hicho.
Bashe alimwambia Zitto kuwa, ni vigumu kuyapata mabadiliko kwenye Upinzani coz kuna Mgogoro wa kimaadili, kimfumo na kiitikadi. Kutokana na mgogoro huo, umepelekea kuwepo kwa wapiganaji wa mabadiliko ya kweli wachache.
Je, Bashe anasema kweli kuwa kuwa, Upinzani umejaza watu wanafiki tu lakini hawana dhamira ya kweli ya mabadiliko kutokana na kutokuwepo kwa maadili na itikadi inayoeleweka?
Je, kutokana na maneno ya Bashe, ndo maana tunaona kila siku Viongozi wengi wanahamia CCM kutoka Upinzani?

View attachment 832818
Mabadiliko always yanaletwa na wachache na si majority
 
Back
Top Bottom