Husna wa CHADEMA aibuka tena na Mkwara mzito Sana! Hatuogopi kufa

Nimeshashiriki Chaguzi nyingi naelewa, Hawa wanaotoaga mapovu nyakati za Uchaguzi wanakuwa 'wamesetiwa' na wanaotarajia kugombea. Lengo ni kuonekana ni wapinzani wa kweli, halafu watapewa forms kisha watafanya kwa makusudi some irregularities ili wakataliwe na tume au wawekewe mapingamizi, hatimaye 'mwenye jimbo' apite bila kupingwa
 
Mpuuzi kabisa Wewe katika Uwasilishaji wangu hasa Kimaelezo kuna mahala popote pale Mzukulu nimesema / kujitangaza Mimi ni mwana CCM?
Huhitaji kujitangaza, ila maoni yako yataeleza.

Kwa mchango huo ulioweka hapo unatishia watu waogope hao unaowaabudu na matendo yao.

Kama huoni kuwa ni hivyo, basi wewe ni zuzu.
 
Napenda mo alivyo na Guts ila nadhani Kitu pekee alichokisahau ni kwamba walikuwepo Wakubwa zaidi yake ila Leo hawaonekani na Marehemu.
Msikatishe tamaa kwani tunahitaji watu wengi wa aina yake na wako wanakuja na wanatengenezwa na utawala wa awamu hii. Mpaka 2025 tutakuwa nao milioni. Hapo ndipo Nyerere aliona mbali kwa kusema tusisubiri wanaosema hapana wawe wengi kwani mambo yatakuwa yameshaharibika tayari.
Guys, get ready.
 
Back
Top Bottom