Husna Saidi akiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa itapendeza sana

Unaonaje ukijikita kwenye mambo yenu ya huko Lumumba !

Kama kugawa fulana na kofia nyumba kwa nyumba na kupigia upatu kauli yenu ya maendeleo hayana vyama!

Chadema haihitaji ushauri wa waimba mapambio na matarumbeta ya MATAGA...
Siasa siyo uadui bwashee.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
 
Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza.
Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu.

Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana.

Bawacha fikirieni kumpa huyu mama uongozi wa juu kabisa.

Kazi Iendelee!
Mkuu naona siku izi umekua na mapenzi na chadema ,wenda mungu anataka kukufungua toka kwenye minyororo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom