Hushushi mzigo mpaka upewe cha kati..loh

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,749
Ni tatizo linalokuwa kwa kasi , kwa wanawake na wanaume
Wengi wanaweza kubisha lakini moyoni mwao wanakiri. Imekuwa kama ni fasheni sasa mtu hafiki climax mpaka apewe na kati, hili ni tatizo

Wapo wanawake wanaifanya na kufanywa hivyo na wanaume pia, chanzo chake kwa wanawake mara nyingi utakuta huko nyuma walifanya mchezo wa kusagana , na kwa wanaume huko nyuma walipiga sana puchu

Madhara yake; ukishazoe hako ka mchezo kama ni mwanamke utakuwa na tabia za kisagaji hapo badae au kuwa msagaji kabisa
kwa wanaume mmh..ni rahisi sana kuja kuwa shoga wa kisirisiri

Wengine hufanya kama Sehemu ya utundu wa kimahaba, nawengine kiasili ndio wanapopenda hapo, yani mzuka wake unapanda na mdadi juu

Kwa wewe mwenzangu namimi unayejaribu kuiga, angalia sana si kila kitu ni cha kuiga
 
lahaulah...................!!jiwe gizani hilo limetupwa,sasa huyo si atakua MSE... vuguvugu kwa upande wa wanaume?
 
mbona cha kati kila mtu anacho? hebu dadavua vuzuri mimi sijakuelewa unataka kusema nini?
 
Hii nimeipenda..Kwa hiyo unazama kunako chumvi mpaka anamaliza..;)..Huku nae anapiga mswaki ;)...daaaah mtihani..kweli.hahahaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom