Tetesi: Hushpuppi hatima ya tuhuma zake fraud na scam zimefikia wapi?

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Halo

Huyu jamaa ni kijana wa nigeria aliyekuwa akiishi Dubai miji kama Abu Dabi ndio viunga vyake vya kujitanua.

Alitrend sana na kisa kikubwa kutrend kwake ni yeye mwenyewe kuwa mtu wa kupenda showoff na spotlight kwa watu.

Muda mwingi aliexpose styles, lives na about his wealth he does with enjoyments zake alizo penda, Kiufupi alikuwa mtu wa kuonekana NO WAHALA kama wanaijeria wasemavyo yaani kibongo bongo tunasema hana kazi mbovu. Mavitu kama Gucci, Versace, Rolex, Fendi, Addidas, Nike, na brand nyingine kali za nguo na styles hazijawahi kumpita akidai anawasapoti ama yeye pia anafanya nao kazi worlwide.

Wenzake kama Mompha, kina Ginimbi walikuwa kama class moja hivi maana wanaishi showoff life kama lote,

Mnamo mwezi Juni taarifa ilitoka kwa yeye kushikwa na wapeleleze wa FBI kwa madai yanayoelezwa alikuwa frauder na scammer na mwisho wa siku alikamatwa na cash bilioni 100 za kitanzania akiwa nazo.

Tangu hapo hatuna tetesi zake wala instagram hapost since june.
 

Attachments

  • 20201224_204125.jpg
    20201224_204125.jpg
    39.1 KB · Views: 4
  • 20201224_204045.jpg
    20201224_204045.jpg
    62.8 KB · Views: 5
  • 20201224_204022.jpg
    20201224_204022.jpg
    65.5 KB · Views: 5
  • 20201224_204000.jpg
    20201224_204000.jpg
    65.7 KB · Views: 5
  • 20201224_203919.jpg
    20201224_203919.jpg
    44.7 KB · Views: 4
  • 20201224_203836.jpg
    20201224_203836.jpg
    29.5 KB · Views: 4
  • 20201224_203836.jpg
    20201224_203836.jpg
    29.5 KB · Views: 4
  • 20201224_203802.jpg
    20201224_203802.jpg
    65.6 KB · Views: 4
  • 20201224_203731.jpg
    20201224_203731.jpg
    40.2 KB · Views: 4
Kwanini mada yako umeiita tetesi ilhali ni swali?
Nahitaji tetesi 😅😅 nimebugi lakini back to story huyu jamaa alidukuliwa na FBI kwa tetesi walizo pata kuwa ni fraud, means FBI walipewa tetesi juu ya chanzo cha utajiri wake. So rumors started alafu ndio facts baadaye so the story based on tetesi. Hahaha mada yangu nimeiweka kama tetesi japo nimeuliza swali kwa tag.
 
Huyu jamaa aoikuwa anawapa ugonjwa wa akili watanzania kwa maisha anayoishi.

Maisha ya Instagram yanawaletea watu msongo wa mawazo na kuwafanya wajione kama wamechelewa maisha.
Endelea kupigwa jua mixer vumbi kwenu nanjilinji,ferrari muachie hushpuppi
 
Back
Top Bottom