Tetesi: Hushpuppi hatima ya tuhuma zake fraud na scam zimefikia wapi?

Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,141
2,000
Halo

Huyu jamaa ni kijana wa nigeria aliyekuwa akiishi Dubai miji kama Abu Dabi ndio viunga vyake vya kujitanua.

Alitrend sana na kisa kikubwa kutrend kwake ni yeye mwenyewe kuwa mtu wa kupenda showoff na spotlight kwa watu.

Muda mwingi aliexpose styles, lives na about his wealth he does with enjoyments zake alizo penda, Kiufupi alikuwa mtu wa kuonekana NO WAHALA kama wanaijeria wasemavyo yaani kibongo bongo tunasema hana kazi mbovu. Mavitu kama Gucci, Versace, Rolex, Fendi, Addidas, Nike, na brand nyingine kali za nguo na styles hazijawahi kumpita akidai anawasapoti ama yeye pia anafanya nao kazi worlwide.

Wenzake kama Mompha, kina Ginimbi walikuwa kama class moja hivi maana wanaishi showoff life kama lote,

Mnamo mwezi Juni taarifa ilitoka kwa yeye kushikwa na wapeleleze wa FBI kwa madai yanayoelezwa alikuwa frauder na scammer na mwisho wa siku alikamatwa na cash bilioni 100 za kitanzania akiwa nazo.

Tangu hapo hatuna tetesi zake wala instagram hapost since june.
 

Attachments

 • 20201224_204125.jpg
  File size
  128.9 KB
  Views
  0
 • 20201224_204045.jpg
  File size
  185.6 KB
  Views
  0
 • 20201224_204022.jpg
  File size
  211.2 KB
  Views
  0
 • 20201224_204000.jpg
  File size
  205.4 KB
  Views
  0
 • 20201224_203919.jpg
  File size
  157.8 KB
  Views
  0
 • 20201224_203836.jpg
  File size
  107.3 KB
  Views
  0
 • 20201224_203836.jpg
  File size
  107.3 KB
  Views
  0
 • 20201224_203802.jpg
  File size
  197.5 KB
  Views
  0
 • 20201224_203731.jpg
  File size
  140.8 KB
  Views
  0

Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,141
2,000
Kwanini mada yako umeiita tetesi ilhali ni swali?
Nahitaji tetesi 😅😅 nimebugi lakini back to story huyu jamaa alidukuliwa na FBI kwa tetesi walizo pata kuwa ni fraud, means FBI walipewa tetesi juu ya chanzo cha utajiri wake. So rumors started alafu ndio facts baadaye so the story based on tetesi. Hahaha mada yangu nimeiweka kama tetesi japo nimeuliza swali kwa tag.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom