husband material.

KisakoKivuyo

Senior Member
Mar 28, 2012
151
45
ndugu wanajamii forum kuuliza sio ujinga. nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani wa chuo kimoja hapa nchini na hali inavyoonekana amenizimikia na kwangu ni dalili njema hasa kwa kipindi hiki ninachotafuta wife wa kuishi nae. kinachonishtua amekua akiniita 'husband material' and to be honest that don't sit well with me. nahisi ameniona -----, do we have husband material in this world? mi nimezoea wife material, naomba ushauri!
 
Sina uhakika kama unajua unachokiuliza

Unaishi kwa mazoea?

Lakini pia naona lugha imekuchanganya

Ila inaonekana hata maana ya wife material hujui
Kama ungekuwa unajua usingefikiria na kuamua kuja hapa kuuliza hilo swali

Kwanini usingeuliza kwanza kabla ya kuja hapa?
Au kwanini usingemuuliza huyo anaekuita hivyo?

Sikulaumu kwa kutokujua maana ya Husband material ila nakulaumu kwa kutokufikiri kabla ya kuja hapa na kuuliza!!
 
dah kwa hali hiyo ya kutokuelewa husband material ni bora ukavutavuta kwanza subira kabla ya kuoa.
 
Shabash!!!! unafahamu kuhusu wife material lakini hujui chochote kuhusu husband material!!!! Mchangamkie huyo binti kabla wa MUJINI hawajakupora, kila la heri katika safari ya kwenda kwao kujitambulisha.

kuuliza si ndio kama hivi jamani!
 
dah kwa hali hiyo ya kutokuelewa husband material ni bora ukavutavuta kwanza subira kabla ya kuoa.

tafadhali tusikatishane tamaa. nadhani unaelewa kwamba watu wakisema wife material wanamaanisha mwanamke mzuri wa kuoa, for any man! if there is husband material too, what about those who are not so material?
 
Huyu dada amekuona wewe ni duwanzi au mburula. Wanawake wanapenda wanaume ma mburula lakini wenye cash au muelekeo wa kupata cash. Hii ni kwasababu ukiwa mwanaume mburula demu anakupelekesha na kukugeuza jinsi atakavyo. Nakushauri uachane naye mara moja.
 
Shabash!!!! unafahamu kuhusu wife material lakini hujui chochote kuhusu husband material!!!! Mchangamkie huyo binti kabla wa MUJINI hawajakupora, kila la heri katika safari ya kwenda kwao kujitambulisha.

unajua the term 'husband material' isn't very common, utakubaliana nami lakini wife material is almost every man cup of tea... nimeshtuka mwenzenu kuitwa jina lisilozoewa kwenye jinsia yetu..
 
Huyu dada amekuona wewe ni duwanzi au mburula. Wanawake wanapenda wanaume ma mburula lakini wenye cash au muelekeo wa kupata cash. Hii ni kwasababu ukiwa mwanaume mburula demu anakupelekesha na kukugeuza jinsi atakavyo. Nakushauri uachane naye mara moja.

yaani mkuu hofu yangu ni hiyo kabisa, labda kaniona kuzi... japo atakuwa kaingia wrong toilet.
 
Kwako wewe ndiyo siyo common, kwa wengine ni neno la kawaida sana na linatumika sana hata hapa jamvini.

unajua the term 'husband material' isn't very common, utakubaliana nami lakini wife material is almost every man cup of tea... nimeshtuka mwenzenu kuitwa jina lisilozoewa kwenye jinsia yetu..
 
Kwako wewe ndiyo siyo common, kwa wengine ni neno la kawaida sana na linatumika sana hata hapa jamvini.

thanks master! inawezekana ni la kawaida lakini how about those men how are considered not husband material? its men world u know!
 
It's very difficult for them to find someone special (wife material)

thanks master! inawezekana ni la kawaida lakini how about those men how are considered not husband material? its men world u know!
 
waswahili wanasema mke ni tabia, au uzuri wa mwanamke ni tabia sio sura. kama ni hivyo kikwetu kwetu Africa, tabia ni mpango mzima katika kumtambua wife material, sasa je kama kuna husband material...!!? what are his qualities, tabia au money money pesa!!!?
 
tafadhali tusikatishane tamaa. nadhani unaelewa kwamba watu wakisema wife material wanamaanisha mwanamke mzuri wa kuoa, for any man! if there is husband material too, what about those who are not so material?

that means shouldnt marry if they are not husband material
 
Back
Top Bottom