Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,061
Ukijenga bondeni utasikia muacheni akae kwani tatizo ni nn?
Ukisombwa na mafuriko utasikia hivi Selikari ipo wapi kuwasaidia hawa watu wa mabondeni.
Mafuliko yakitokea kamati ya mafuliko iko wapi?
Selikari ikisema wana Nchi wote wanaoishi mabondeni wahame utasikia waacheni kwani nani alie wapigia kura?
Dereva akiendesha mwendo kasi utasikia dereva utatuua wewe!!
Ngoja akamatwe na police utasikia wee traffic vipi tuache tuendelee na safari kazi kuwaonea madereva tu.
Huruma za kinafiki zipo Bongo tu dunia nzima.