Huruma: TANESCO inaidai Zanzibar Bil. 121 wakati Mapato yao ni Bil 425. Tutawaua kwa presha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
Heshima kwenu wakuu,

Nimesikitishwa sana baada ya Kusikia kauli ya Rais Magufuli kwa Zanzibar isipolipa deni la umeme ikatiwe Umeme. Zanzibar Electricity Corporation (ZECO) inadaiwa na TANESCO Tsh 121 billion ($54.1 million).

Tuwaonee huruma hawa wenzetu wazenji, tuwasaidie tu. Bajeti ya Serikali ya Muungano wa Tanzania 2016/2017 ni Trilioni 29.5, Matumizi ya Kawaida ni Trilioni 17.7 huku Bajeti Zanzibar iliyotangazwa ni shilingi bilioni 841.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 445.6 zitatumika kwa matumizi ya kawaida (chai, mishahara n.k.) na shilingi bilioni 395.9 zitatumika kwa kazi za maendeleo.

Pili, vyanzo vya mapato vya bajeti hiyo ya Zanzibar ni Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) kukusanya shilingi bilioni 188.8, wakati Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) itakusanya shilingi bilioni 237.4. Kwa hiyo, jumla Wazanzibari mtakusanya shilingi bilioni 426.2 ambayo ni chini ya nusu ya bajeti nzima.

Piga ua hawana uwezo wa Kuilipa TANESCO ndani ya mwaka huu. Labda kama waseme hawatalipa Mishahara.

Nawaonea Huruma sana, Poleni Wazanzibari ila Ukupigao ndo ukufunzao, Ndo mkome kufanya mambo kwa mkumbo.

Zanzibar hawana uwezo wala ubavu wa kulipa hili deni.
image.jpeg

Hii ilikuwa Mwaka jana 2016 ambapo bodi ya Mapato Zanzibar(TRA yao) walipoifungia Milango ZECO kwa kushindwa kulipa kodi. Sasa leo Bil 121 watatoa wapi? Hawa Wazenji japo wanajitutumiua na kuongea kishujaa, nawaonea huruma sana.

=====

Kwakweli TANESCO hawana huruma kabisa. TANESCO imeipa Serikali ya Zanzibar mpaka tarehe 30, Machi 2017 iwe imeandaa mpango wa jinsi itakavyolipa deni la kiasi cha Sh. Bilioni 121. vinginevyo watakata Umeme.
 
Ccm Zanzibar wametuuzia nchi yao, ni koloni letu

Waafrika tunapaswa kujifunza kwa masuala muhimu kama hili la Zanzibar.

Watu wana kila kitu halafu leo hii wanaaibika kiasi hiki.

Sasa hiyo benki ya watu wa Zanzibar inafanya kazi gani?

Dr Ali Shein asiwe mwoga kutumbua majipu.
 
Heshima kwenu wakuu,

Nimesikitishwa sana baada ya Kusikia kauli ya Rais Magufuli kwa Zanzibar isipolipa deni la umeme ikatiwe Umeme. Zanzibar Electricity Corporation (ZECO) inadaiwa na TANESCO Tsh 121 billion ($54.1 million).

Tuwaonee huruma hawa wenzetu wazenji, tuwasaidie tu. Bajeti ya Serikali ya Muungano wa Tanzania 2016/2017 ni Trilioni 29.5, Matumizi ya Kawaida ni Trilioni 17.7 huku Bajeti Zanzibar iliyotangazwa ni shilingi bilioni 841.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 445.6 zitatumika kwa matumizi ya kawaida (chai, mishahara n.k.) na shilingi bilioni 395.9 zitatumika kwa kazi za maendeleo.

Pili, vyanzo vya mapato vya bajeti hiyo ya Zanzibar ni Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) kukusanya shilingi bilioni 188.8, wakati Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) itakusanya shilingi bilioni 237.4. Kwa hiyo, jumla Wazanzibari mtakusanya shilingi bilioni 426.2 ambayo ni chini ya nusu ya bajeti nzima.

Piga ua hawana uwezo wa Kuilipa TANESCO ndani ya mwaka huu. Labda kama waseme hawatalipa Mishahara.

Nawaonea Huruma sana, Poleni Wazanzibari ila Ukupigao ndo ukufunzao, Ndo mkome kufanya mambo kwa mkumbo.

Zanzibar hawana uwezo wala ubavu wa kulipa hili deni.
Basi wapunguze deni... Sio lazima walilipe lote kwa siku moja... Afu wao pesa wanazokusanya za umeme wanazipeleka wapi?Au wanatoa huduma ya umeme bure?
 
Heshima kwenu wakuu,

Nimesikitishwa sana baada ya Kusikia kauli ya Rais Magufuli kwa Zanzibar isipolipa deni la umeme ikatiwe Umeme. Zanzibar Electricity Corporation (ZECO) inadaiwa na TANESCO Tsh 121 billion ($54.1 million).

Tuwaonee huruma hawa wenzetu wazenji, tuwasaidie tu. Bajeti ya Serikali ya Muungano wa Tanzania 2016/2017 ni Trilioni 29.5, Matumizi ya Kawaida ni Trilioni 17.7 huku Bajeti Zanzibar iliyotangazwa ni shilingi bilioni 841.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 445.6 zitatumika kwa matumizi ya kawaida (chai, mishahara n.k.) na shilingi bilioni 395.9 zitatumika kwa kazi za maendeleo.

Pili, vyanzo vya mapato vya bajeti hiyo ya Zanzibar ni Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) kukusanya shilingi bilioni 188.8, wakati Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) itakusanya shilingi bilioni 237.4. Kwa hiyo, jumla Wazanzibari mtakusanya shilingi bilioni 426.2 ambayo ni chini ya nusu ya bajeti nzima.

Piga ua hawana uwezo wa Kuilipa TANESCO ndani ya mwaka huu. Labda kama waseme hawatalipa Mishahara.

Nawaonea Huruma sana, Poleni Wazanzibari ila Ukupigao ndo ukufunzao, Ndo mkome kufanya mambo kwa mkumbo.

Zanzibar hawana uwezo wala ubavu wa kulipa hili deni.
zenji watamlaumu jecha manna bila yeye sasa mambo yangekua mujarabu
 
Back
Top Bottom