Irene si aje Dar tu maana hizi drama za green party zime chosha. Hebu tazama, ajira hakuna- maofisa uhamiaji wazalendo wanaingiza wageni kuchukua ajira kiulaini. Hakuna umeme-MP's wanakaa siku tisini kila siku wanalipwa posho 150000 wanaondoka wakati giza limezidi..........