hupati usingizi usiku?na mchana unasinzia kazini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hupati usingizi usiku?na mchana unasinzia kazini?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mjasiriamali1, Sep 27, 2012.

 1. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ALOE BLOSSOM HERBAL TEA
  [​IMG]

  Ni chai isiyo na caffeine. imetokana na mauwa ya njano ya mkonge wa alovera.

  FAIDA YAKE:
  1.huondoa uchovu wakati wa mchana hasa wale wenye matatizo ya kulala wakati kazi.
  2.Jioni ukipata kikombe kimoja inasaidia kupunguza stress,huondoa uchovu wa siku nzima. na pia itakusaidia utalala usingizi mzuri. usingizi unapoamka bila kichwa kuwa kizito. na unakuwa fiti siku nzima

  3.hunyewa na watu wote. haijalishi una presha au hauna presha watu wa rika lote hunywa. sifa yake kubwa ni kutokuwa na madini ya caffein kama chai nyingine. na kama tunavyojua madini ya caffein jinsi yanavyoadhiri moyo. tembelea who.int .
  (search mathara ya caffein kwenye mwili wa binadamu usome kwa uelewa zaidi).


  4.inakupa moody nzuri wakati wote.


  -maelezo zaidi piga 0713297066
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kama Mchana itaniondolea uchovu na kunifanya active, usiku si itanifanya tena active badala ya kunipa usingizi?
  Au yenyewe inatambua majira ya siku kisha inafanya kazi kulingana na hao majira?
   
 3. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  Uchomvu????!!!
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  sasa ikinilaza kupita kiasi usiku na hata majambozi nitayasahau kwa mamaa?
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,926
  Trophy Points: 280
  Amishia jukwaa la matangazo.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahahaa, nimeipenda hii, maana hapo namba 4 anasema inachangamsha mwili muda wote...yaani hata night unahisi kama uko mpirani hivi...
   
 7. M

  Mwitakesowani Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  je mwenye tatizo la kupata usingizi itamuathili au kumtibu mana mi natatatizo la kutopata usingizi
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Huu ni miongoni mwa zile tapeli mpya za afya zinazonadiwa nchini.
  Subiri ataleta na dawa za meno etc.
  We hushangai, chai inakupa usingizi usiku halafu ukiinywa mchana inaondoa usingizi.
   
Loading...