Huo ni ufisadi ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huo ni ufisadi !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkyandwale, Feb 21, 2011.

 1. nkyandwale

  nkyandwale Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Wataalamu wa tiba za binadamu kukataa kutowa huduma ya kitabibu kwa waathirika wa milipuko ya mabomu ya kule Gongo la mboto ni aina mojawapo ya ufisadi.

  Huwo ni ufisadi mbaya zaidi ya ule wa EPA, DOWANS, .... hawo hawajali UTU KWANZA? Wapo kibiashara zaidi ? HOSPITALI HIZO ZIWAJIBISHWE. Ufisadi ni kushindwa kutimiza wajibu. Wamesomeya kutibu nini kama si pamoja na majeruhi hawo ! NAWASHANGAA!!! Aibu gani hii !
   
Loading...