Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,689
- 40,892
Sio mbaya
Acha kujidanganya atajaziwa cheti bila kuchanja huyoAtachanjwa
Aisee wewe ni kiazi!!!Yule muumini na mfia Dini ya wapinga Chanjo hatimaye atachanjwa kabla ya kuelekea Malawi Kwa taratibu za nchi hiyo huwezi kuingia kama hujachanjwa, hili ni anguko lingine Tena la walinda legasi ya jiwe
Wewe atachanjwa,usiwaamini wana siasa hata kidogoAcha kujidanganya atajaziwa cheti bila kuchanja huyo
Mkuu vyeti vinapatika bila kuchanjwa acha ubishi... mm cjachanja na cheti ninachoWewe atachanjwa,usiwaamini wana siasa hata kidogo
Mkuu, huyu wanamuondoa nchini kwa vile awamu iliyopita alizunguka sana mashinani na matawini kumpigia propaganda Bwana Mkubwa ... Nafikiri wanaona anaweza kuwachafulia uchaguzi wa chama kichinichini .... Next atakuwa ni Bashiru!! That's my opinion!!Mkuu, hana siri wala anachojivunia! zaidi ni heshima tu wanayojaribu kumpa!
Serikali (System) ikiamua, hakuna linaloshindikana, anaweza kunyang'anywa vyeo vyote ikiambatana na kufilisiwa mali alizo nazo.
Kiufupi, hakuna aliyewahi kupambana na serikali (System) akafanikiwa, mifano tunayo miiingi sana. sana.
Nyonyo? hii imekaaje 🤣🤣
Ngoja bia yetu aje atupe muongozoNyonyo? hii imekaaje
Abaki huko huko alipopotelea.Ngoja bia yetu aje atupe muongozo
Polepole hata chanja.Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?
Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Chakubanga Kishachanjwa Kimya KimyaBaada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?
Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?