Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

Ila uchawi upo yaani aliye kataa kuchanja anakwenda sehemu ambapo huingii bila kuchanza.

Ushauri wangu aukatae ubalozi 🏃🏃🏃
 
Yule muumini na mfia Dini ya wapinga Chanjo hatimaye atachanjwa kabla ya kuelekea Malawi Kwa taratibu za nchi hiyo huwezi kuingia kama hujachanjwa, hili ni anguko lingine Tena la walinda legasi ya jiwe
Aisee wewe ni kiazi!!!
 
Mkuu, hana siri wala anachojivunia! zaidi ni heshima tu wanayojaribu kumpa!

Serikali (System) ikiamua, hakuna linaloshindikana, anaweza kunyang'anywa vyeo vyote ikiambatana na kufilisiwa mali alizo nazo.

Kiufupi, hakuna aliyewahi kupambana na serikali (System) akafanikiwa, mifano tunayo miiingi sana. sana.
Mkuu, huyu wanamuondoa nchini kwa vile awamu iliyopita alizunguka sana mashinani na matawini kumpigia propaganda Bwana Mkubwa ... Nafikiri wanaona anaweza kuwachafulia uchaguzi wa chama kichinichini .... Next atakuwa ni Bashiru!! That's my opinion!!
 
Mmeshavuka border za nchi zetu za kiafrica mjue yanayojili kuhusu kuchanja. Msingejiuliza hayo maswali
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Polepole hata chanja.
Sijui hatma ya ubalozi wake.
 
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?

Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Chakubanga Kishachanjwa Kimya Kimya
 
Back
Top Bottom