Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

NJAAA NI HATARI SANA HAJWAHI KUWAACHA WATAFUTIAJI NA WACHUMIAJI SALAMA NA MTEGEMEAYE TUMBO NA MTEGEMAYE MWANADAMU AMELAANIWA NA WATU WASEMSE AMINA
 
heheheyaa kauli zake za siku hizi sasa kuhusu hiihii ccm tutawapiga sijui tutawashinda kwa kishindo hii nchi ina watu wenye laana kabisaa
 
Hivi huyu mnayemwita Polepole ni kweli ni yeye yule tunayemfahamu wa Tume ya katiba ya Warioba? nafikiri hata ukimuuliza jina lake nani anaweza asikutajie. Kama kweli ndiye, basi ana laana ya kuwageuka wananchi aliowakalisha juani na kwenye mvua kuomba maoni yao juu ya namna gani nchi yao iongozwe. Hivi hata akilala huwa anajisikiaje kuwasaliti wananchi na kuungana na genge la wahuni? Ninachofurahi ni kwamba mzee waka kasema Lowassa ni msafi na wa kupigiwa mfano kwa siasa za kistaarabu. Nakumbuka Polepole siku moja alisema Lowassa si msafi na aliharibu mchakato wa kutengeneza Katiba ya wananchi. Mzee wake kamuumbua peupe. Leo CCM haina ubavu wa kumnyooshea kidole tena Lowassa.
 
Polepole alishakufa kitambo kiakiri amepaki kununua wapinzani leo atakwambia uchaguzi ulikua wa huru na aki
 
Waache wang'ang'anie wakurugenzi wanajua ndo PUMZI yao. Wao ni mirija ya oksijeni na ikikatwa tu Mahututi anaaga dunia. Msikilize polepole enzi zake za uanaharakati kabla hajaanza kuvaa ile shati moja tu tangu ateuliwe.
 
Back
Top Bottom