bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,167
NJAAA NI HATARI SANA HAJWAHI KUWAACHA WATAFUTIAJI NA WACHUMIAJI SALAMA NA MTEGEMEAYE TUMBO NA MTEGEMAYE MWANADAMU AMELAANIWA NA WATU WASEMSE AMINA
kwa akili ya kawaida hawezi kusema hayo akiwa ccm....Upotoshaji huu,
Lini huyu jamaa alikua UKAWA??
Polepole ambaye sasa hivi amekuwa bosi pale CCM alipata kunena haya maneno mazito
My Take
Unaa mbaya sana
hahaha mwisho wa kunukuu hakuna mambo hayo ya weka yoteDuh!
Alimaanisha sisiemu ya PRIOR MAGUFULI, weka clip yote na uisikilize ndio utamuelewa.
hahaha mwisho wa kunukuu hakuna mambo hayo ya weka yote
unatunika vibaya wewe sikiliza na hii basi.......................
ulimsikia nani ?Weka clip yote ya Polepole. Mimi niliisikiaga na kwa mwenye akili, atamuelewa.
Polepole.uchaguzi ukiwa uhuru na wa haki ccm ijiandae kukabidhiKumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
sema polisi wasipotusaliti,CCM bado tutaendelea kushinda tuCHADEMA Kwenye social media wameshinda mapema kabisa asubuhi na mapema lakini kwenye Sanduku la kura CCM bado wataendelea kushinda tuu.
nanihii mwenyewe alisema amesukumizwa unafikiri alikuwa amamaanisha kitu gani mwe?sema polisi wasipotusaliti,CCM bado tutaendelea kushinda tu
Bado tuna safari ndefu sanaPolepole alishakufa kitambo kiakiri amepaki kununua wapinzani leo atakwambia uchaguzi ulikua wa huru na aki