Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,453
29,130
Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2017-11-27 at 21.27.10.mp4
    161.7 KB · Views: 157
Kwani kuna kitu umesikia kwenye hiyo video... Au ndo bedela inafuata upepo.
Naona umetegesha virus mzee.. Mbona haonekani huyo Harakaharaka.
Device yako ikiwa na Problem ya kutofungua hii video basi usi-generalize kua tatizo la kila mtu,
Inawezekana format iliyoko hii video wewe device yako hai-support,
Ingekua kweli nimeweka attachment ambayo haifunguki basi Mods wasingeuacha huu uzi hewani mpaka sasa.
 
CHADEMA Kwenye social media wameshinda mapema kabisa asubuhi na mapema lakini kwenye Sanduku la kura CCM bado wataendelea kushinda tuu.
 
Haaahaaaaa dah maCcm bhana ila leo hii ukimuuliza polepole atasema wananchi hawahitaji uchaguzi huru na haki sababu vipaumbele vyao ni maji barabara n.k hahhaaahaaaaa
 
Back
Top Bottom