Humphrey Polepole, Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Humphrey Polepole, Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Shark, Nov 28, 2017.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,834
  Likes Received: 8,307
  Trophy Points: 280
  Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
   

  Attached Files:

 2. bridalmask

  bridalmask JF-Expert Member

  #21
  Dec 4, 2017
  Joined: Jan 14, 2015
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,093
  Trophy Points: 280
  NJAAA NI HATARI SANA HAJWAHI KUWAACHA WATAFUTIAJI NA WACHUMIAJI SALAMA NA MTEGEMEAYE TUMBO NA MTEGEMAYE MWANADAMU AMELAANIWA NA WATU WASEMSE AMINA
   
 3. utukufu mwanjisi

  utukufu mwanjisi JF-Expert Member

  #22
  Dec 4, 2017
  Joined: Aug 19, 2017
  Messages: 305
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Ikabiziwe kwa nan mkuu?
   
 4. Mlyuha

  Mlyuha JF-Expert Member

  #23
  Dec 4, 2017
  Joined: Apr 27, 2015
  Messages: 226
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  kwa akili ya kawaida hawezi kusema hayo akiwa ccm....
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #24
  Dec 4, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,834
  Likes Received: 8,307
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaa,
  Nimekuelewa Mkuu,
  Enzi zile alikua hajashikishwa bado "Ulaji"
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #25
  Jan 24, 2018
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,171
  Likes Received: 18,647
  Trophy Points: 280


  Polepole ambaye sasa hivi amekuwa bosi pale CCM alipata kunena haya maneno mazito

  My Take
  Unaa mbaya sana
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #26
  Jan 24, 2018
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 26,335
  Likes Received: 13,773
  Trophy Points: 280
  heheheyaa kauli zake za siku hizi sasa kuhusu hiihii ccm tutawapiga sijui tutawashinda kwa kishindo hii nchi ina watu wenye laana kabisaa
   
 8. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #27
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 22,840
  Likes Received: 14,841
  Trophy Points: 280
  Duh!
  Alimaanisha sisiemu ya PRIOR MAGUFULI, weka clip yote na uisikilize ndio utamuelewa.
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #28
  Jan 24, 2018
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 26,335
  Likes Received: 13,773
  Trophy Points: 280
  hahaha mwisho wa kunukuu hakuna mambo hayo ya weka yote

  unatunika vibaya wewe sikiliza na hii basi.......................:D:D:D
   
 10. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #29
  Jan 24, 2018
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 22,840
  Likes Received: 14,841
  Trophy Points: 280
  Weka clip yote ya Polepole. Mimi niliisikiaga na kwa mwenye akili, atamuelewa.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #30
  Jan 24, 2018
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 26,335
  Likes Received: 13,773
  Trophy Points: 280
  ulimsikia nani ?
   
 12. K

  Kihava JF-Expert Member

  #31
  Jan 24, 2018
  Joined: May 23, 2016
  Messages: 1,963
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu mnayemwita Polepole ni kweli ni yeye yule tunayemfahamu wa Tume ya katiba ya Warioba? nafikiri hata ukimuuliza jina lake nani anaweza asikutajie. Kama kweli ndiye, basi ana laana ya kuwageuka wananchi aliowakalisha juani na kwenye mvua kuomba maoni yao juu ya namna gani nchi yao iongozwe. Hivi hata akilala huwa anajisikiaje kuwasaliti wananchi na kuungana na genge la wahuni? Ninachofurahi ni kwamba mzee waka kasema Lowassa ni msafi na wa kupigiwa mfano kwa siasa za kistaarabu. Nakumbuka Polepole siku moja alisema Lowassa si msafi na aliharibu mchakato wa kutengeneza Katiba ya wananchi. Mzee wake kamuumbua peupe. Leo CCM haina ubavu wa kumnyooshea kidole tena Lowassa.
   
 13. 900 Inapendeza zaidi

  900 Inapendeza zaidi JF-Expert Member

  #32
  Jan 24, 2018
  Joined: Nov 19, 2017
  Messages: 452
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Polepole.uchaguzi ukiwa uhuru na wa haki ccm ijiandae kukabidhi
   
 14. boaz mwalwayo

  boaz mwalwayo JF-Expert Member

  #33
  Jan 24, 2018
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 4,432
  Likes Received: 2,940
  Trophy Points: 280
  Polepole alishakufa kitambo kiakiri amepaki kununua wapinzani leo atakwambia uchaguzi ulikua wa huru na aki
   
 15. 900 Inapendeza zaidi

  900 Inapendeza zaidi JF-Expert Member

  #34
  Jan 24, 2018
  Joined: Nov 19, 2017
  Messages: 452
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  sema polisi wasipotusaliti,CCM bado tutaendelea kushinda tu
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #35
  Jan 24, 2018
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 26,335
  Likes Received: 13,773
  Trophy Points: 280
  nanihii mwenyewe alisema amesukumizwa unafikiri alikuwa amamaanisha kitu gani mwe?
   
 17. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #36
  Feb 12, 2018
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 19,228
  Likes Received: 47,534
  Trophy Points: 280
  Bado tuna safari ndefu sana
   
 18. L

  LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member

  #37
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 759
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 180
  ccm bila polis na kubebwa na wakurugenzi maji ya shingo
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #38
  Feb 17, 2018
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,834
  Likes Received: 8,307
  Trophy Points: 280
  Hapa njimemuelewa sana Humphrey
   
 20. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #39
  Feb 18, 2018
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,171
  Likes Received: 18,647
  Trophy Points: 280
  Inadhihirika
   
Loading...