Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Polepole popote ulipo, U R A NOBODY, huna tofauti na gunia la viazi Mabibo au ndizi, hakuna anayejali zimetoka wapi za nani! Wananunua kutumia.

Polepole once upon a time, ujue wewe ni wa hapo zamani za kale. Huingia hata kwenye kundi la ya kale dhahabu.

Hakuna mtu aweza kusema anakumisi huku uraiani,

Everyday is Saturday................................😎
Wapo wengi tu huku uraiani waliopuuzwa na ccm watamsapoti kama kweli atakuwa smart, lakini nadhani hatokuwa na huo ujasiri !! Tusubiri
 
Shut da f*ck kila zama na Kitabu chake.
200 (7).gif
 
Pole pole kachanganyikiwa.. Hicho ndio alichoitia PC?

Mwamba kapagawa, zile perdiem hazipo tena, akienda ziara anasindikizwa na askari hakuna tena vieite la kijani hakuna tena mzee wetu kapagawa uenezi hana tena anajifanya mzalendo, wakati wanafungia mikutano vyama vingine alikua wapi? Atulie atutolee kelele
 
Siasa haziwagi hivyo.

Raila leo ana ushirika na KANU (kupitia Jubilee) ambayo ilimtesa yeye na kizazi cha babake. Utawala wa mkono wa chuma wa Moi kupitia KANU uliwahi kumtesa Raila kuliko kiongozi yeyote wa upinzani EAC labda na Afrika.

Hata mateso ya Mandela kule Roben Island hayafikii ya Raila labda Guantanamo Bay.

Raila aliwahipigwa na vikosi kama mbwa-koko-kichaa na kumsababishia majeraha yasiyofaa kuangalia na kutupwa kwenye chumba chenye maji ya chumvi na pilipili vilivyokolezwa akingali na vidonda vibichi, na maji yakajazwa kwenye saizi ya shingo yake kwa siku tisa huku chakula akichanganyiwa na kinyesi, lakini alikula kinyesi na alipotoka huko kauli yake ilibaki ileile kwamba KANU lazima iondoke hata kwa gharama na kafara ya roho yake.

Kakake Dr. Oburu Oginga akiwa Jasusi wa KGB Urusi alipopata habari hizi, alimpa Rais Moi saa 24 tu kumuachia Raila huru kinyume chake Russian Fighter Jets zitatua Ikulu ya Kenya kumung'oa Moi na KANU yake.

Enzi hizo kulikuwa na vita baridi kali ambapo Kenya ilikuwa upande wa Magharibi hivyo Urusi ilikuwa tayari kumtumia Jasusi Dr. Oburu Oginga kubomoa kambi ya Ubeberu Kenya na kupandikiza Ucommunist. Ultimatum ya Jasusi Dr. Oburu Oginga ilimtisha Moi na US, akatangaza kumuachia huru Raila.

Kulia ni Jasusi Dr. Oburu Oginga na mdogo wake Raila Odinga, chini ni Jaramogi Oginga Odinga (baba yao). Taswira kwa hisani ya google.
3029867_1639214512125.png

View attachment 2040397

View attachment 2040387
Umeupiga MWINGI..all in all MABEBERU wanatutawala..
 
Napenda wajuvi wa Mambo Kama wewe,japo Sina uhakika na kile umekilenga kutokana na story ya mzee wa vitendawili.

Ila namuhurumia maana Rutto ni kitu kingine.
 
Wapo wengi tu huku uraiani waliopuuzwa na ccm watamsapoti kama kweli atakuwa smart, lakini nadhani hatokuwa na huo ujasiri !! Tusubiri
Waliopuuzwa na CCM chini ya uongozi wake ni wengi zaidi, ahamie Burundi ka life la Bongo, limemshinda, huu mchezo hauhitaji hasira.
Kapaniki, mwenzake walikuwa wanamcheki tu.

Everyday is Saturday...............................:cool:
 
Yaani kweli Humphrey Polepole ndiye wa kulalamikia kudhibitiwa kuongea, mbona huo ndio uhuni waliokuwa wanafanya na mwendazake wake, analalamikia nini sasa! Humphrey , hili ni moja ya majumba mabovu mnayotaka kumdondoshea mama wa watu ambaye hajazaliwa na hiyo roho mbaya yenu , siku mama atakapoelewa na kuchukua hatua , sio kulia tu bali utaomboleza.
 
Kavurugikiwa ana wenge la kuachwa utadhani yeye ndiyo mjane.
Anatia kinyaa kwakweli kwa haya anayofanya.

Kama walimnyang'anya Viete jamani wampe atatuua wote kwa kutuambukiza
Sonono.

Everyday is Saturday................................:cool:
Kwani kwa ubunge wake alionao hawezi kuendeshwa kwenye Vieitee ??
 
Kama ni kweli basi impact yake itakuwa kubwa kiasi chake, PLPL is nobody fool, !! Some big fish behind the curtains !! Just guessing !
usitutishe...being a big fish without having an influence and commanding power in tiss, police force and the inner circle of ccm is like being naked.

polepole na wanaomtuma kwa sana hawana huo u-big fish unaousema. hata inzi tu akikatisha wanaogopa.
 
Akapumulie mbele huko. CCM ni imara, angekuwa na Jambo la kusambaratisha chama angetulia, Hana lolote ndo mana anapiga kelele....hawajasambaratisha chama kina Mrema, Lowasa na Membe iwe yeye Chakubanga?
Akae atulie ashukuru Mungu, mbona sie wengine tumezoea maisha bila viete full Ac?
 
Back
Top Bottom