mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,493
2,000
Hivi kuna mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya ccm ya kina nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali pole pole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe waziri kabisa au mshauri wa rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?Waambie wakukojoleshe ulale, Polepole aliyepandisha mchakato haramu/gulio la kununua viongozi wa upinzani eti wanaunga mkono juhudi,ndiyo tukapata akina Kitila Mkumbi,Katambi nk pamoja na wabunge covid 19,
Kama amekutuma au umejituma kaanze upya,mbona Serikali mnaongoze pemeyenu Hadi Bunge,Serikali za mitaa,madiwani Sasa ubawashwa na Nini?
Tunasubili Tanzania iwe Kama ulaya maana wapinzani walituchelewesha sana kupata maendeleo ,
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
3,229
2,000
Hivi kuna mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya ccm ya kina nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali pole pole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe waziri kabisa au mshauri wa rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?MNAFIKI tu ,wajua uzalendo wewe, nenda Butiama angalau utaujua uzalendo japo hakuna binadam aliekamilika
 
Bepari la bariadi

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
416
1,000
Itoshe tu kusema kwamba huyu comrade Polepole no hazina iiliyobaki kizazi hiki yenye chemistry ya Unyerere na u Jpm!
Time Will tell.
Siku moja tutashuhudia akikagua gwaride la uapisho.
Ukivimba pusuka tuu!
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,478
2,000
Usiniambie.?

Ulikubalije sasa si mngeenda kupima kwanza?
Hayo ya kwenu wenyewe huko CCM na tamaa zenu za ubunge wa vitu maalum. Na wewe na hiyo combination ya viruses uliobebeshwa hata ARV zitadunda na huku marinda walishakufumua sijui utaponea wapi, unasubiria tani sita za udongo tu.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
4,045
2,000
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?Hakuna uzalendo hapo,huo uzalendo ulikuwa wapi wakati JPM alipokuwa Madarakani?sasa hv analia Lia na kutoka povu kwa sababu lile kundi lake sukuma gang na wahunga mkono juhudi,wametolewa kwenye ulaji baada ya kichwa chao kufa.
Wale wote Pro Maghufuri,wanashikishwa adabu sasa hv,ulaji umepotea,sasa hv walioshika nchi ni Wana mtandao wa Mzee wa msoga JK.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom