Humphrey Polepole: Bandari ya Bagamoyo sio muhimu kuliko Bandari ya Dar na Tanga

Chakubanga: unaijua vieteee wewe...?
Etiiiiii?

20210501_072041.jpg
 
Maswali mengi aliyoulizwa ameshindwa kuyajibu mifano katiba imeruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa..kwa nini wao kama chama na serikali wanazuia??, ujenzi wa bwawa la umeme upo kwenye ilani ya CCM?

Ila mwishoni alimaliza kwa kujibu vizuri swali la katiba mpya itengenezwe au isitengenezwe?? ameweka msimamo wake wazi kwamba suala la katiba mpya halina mjadala itengenezwe.
 
Nimefatilia vyema kabisa mahojiano yake na mtozi, amekua makini sana kuchagua maneno kwenye maswala ya bandari ya bmoyo na bwawa la Mwl. Nyerere, msimamo wake ni mzuri.

Mahali amekuja kuharibu kila kitu ni kutudanganya kuwa ni nchi mbili tu duniani (Tanzania na Australia) inapopatikana rock-phosphate!!!
😂😂😂 Ndugu yangu polepole vya kuambiwa uwe unahakiki kabla ya kuropoka, maana huyu aliyekulisha huu uharo ni wazi alidhamiria uje kuaibika. Umepoteza credit ndg mbunge, labda kwa wanyonge!
 
Labda kama Bandari ya Dar es Salaam ina potential ya kujengwa kwa kiwango cha megaport otherwise hamjui mkisemacho. Strategic location ya Dar au Bagamoyo huwezi ilinganisha na Tanga au Mtwara.
Kwanini walioanzisha bandari ya DSM hawakujenga pale Bagamoyo? Na Bagamoyo ndio ulikuwa mji wa kwanza? Swali langu limejikita kwenye marine and shipping behaviour ya maeneo yote mawili.
 
Sahihi kabisa
Yaan huu mjadala unafanywa kua mrefu kwasababu Hakuna aliyeona mkataba unasemaje na mchina.

Kama Viongozi wanataka kujivua lawama, waweke mkataba mezani.

Wasifikiri watanzania wote zaidi ya mil.60 watashindwa kutafsiri kilichoandikwa kwenye mkataba, Hata Kama umeandikwa kichina.

Waulete tu, tutausoma.

Hii ficha ficha inatufanya tuhisi Kuna Watu wanataka kuiuza nchi kinyemela.
 
Kware sijiu ambako ni bandari kavu hatujaboresha tupate gawio tunakimbilia Bagamoyo.Dar pekee yake wakibanwa wahuni tutaingiza fedha nyingi sana.

CCM kuweni watulivu kidogo, Kesho mtaanzisha mradi wakupeleka bahari Magufuli City kisa mabalozi wakapate upepo Dodoma na ili wahamie haraka.

Msalato airport, Njia Nne Moro to Dodoma,huku pembeni mnajenga reli mwendo kasi.

Maji,maji
Vyoo hakuna,
 
Naona unapinga hoja yake,sasa weka fact zao dhidi ya hoja yake sio kuweka imoji za kuchekacheka kama zuzu
😂😂😂 Pole sana ndugu. Kuzaliwa hivyo ulivyo sio dhambi, dhambi ni kufa hivyo ulivyo


Na


Kwa msaada zaidi muone mwalimu wako
 
Back
Top Bottom