Humphrey Polepole azungumzia hali ya kisiasa nchini; viongozi zaidi ya 20 kuhamia CCM Januari 18

Poverty indicators.... Kwa hivyo ndiyo mnatimiza ilani mliyoombea nayo kura???? we are waiting for 50 millions kwa kila kijiji, mmekaukiana kuanzia mwilini hadi kichwani
 
Yani Kenya wamezindua ndege ya moja kwa moja hadi marekani Tanzania inazindua wanachama ishirini kutoka chadema
 
Kwamba huko ccm interview ya 2 hours inaweza kumbadilisha mtu kutoka ukilaza kuwa mwenye akili,sorry I guess nachat na mgonjwa
Kwani Lowassa ilimchukua muda gani kutimba Ufipa..... Ooh samahani nahisi najibizana na Mbwiga!!
 
Yani Kenya wamezindua ndege ya moja kwa moja hadi marekani Tanzania inazindua wanachama ishirini kutoka chadema
Hata Tanzania ikizindua ndege ya moja kwa moja hadi mwezini hutoisifia badala yake utasema hicho siyo kipaumbele chetu
 
Mimi nilifikiri anasema tarehe 18/01/2018 watafungua viwanda vitano mahali fulani. Eti, kuhama chama! Hivi toka lini matatizo ya nchi yetu ni idadi ndogo ya wanachama wa CCM? Maana naona Polepole na mzee wake wanaona tatizo la msingi la nchi yetu ni CCM kuwa na idadi ndogo ya wanachama.
 
Mimi nilifikiri anasema tarehe 18/01/2018 watafungua viwanda vitano mahali fulani. Eti, kuhama chama! Hivi toka lini matatizo ya nchi yetu ni idadi ndogo ya wanachama wa CCM? Maana naona Polepole na mzee wake wanaona tatizo la msingi la nchi yetu ni CCM kuwa na idadi ndogo ya wanachama.
Msemaji wa viwanda ni Mwijage huyu Polepole amejikita kwenye chama na wanachama na analipwa mshahara kwa kazi hiyo!
 
Polepole hayuko jeshini jaribu kuwa smart!

Ok!Kwa hiyo hicho Kivuko Kibovu kilinunuliwa na wajeda?Ndipo hapo mnapotukosea watanzania,wakishaiba na kupewa nyadhifa kubwa basi wizi unabadilika kuwa wazalendo kwa kuzingatia wadhifa wa mtu
 
Karibu tufuatilie, kipindi ni Msema kweli na mtangazaji Albert Kilala! Up dates: Mwenezi anasema vyama vya Upinzani havina itikadi wala sera.

Pili anasisitiza CCM kwa sasa ina takribani wanachama milioni 12.

Tatu kuna wabunge na madiwani wslioomba kwa barua kujiunga na CCM lakini wamewakataa kwa sababu ni mizigo.

Nne viongozi maarufu zaidi ya 20 wa Chadema kutoka mikoani na taifani watahamia CCM tarehe 18/01/2018 na amesita kidogo kuthibitisha kwamba miongoni mwao mzee Lowassa yumo lakini mtazamo wa sura yake umeonyesha huenda akawemo!

Chanzo: Channel ten
Ndugu yangu Polepole najua unajua kwamba uimara wa chma (CCM) kilichopo madarakani hutegemea mno upinzani ulio imara. Hii biashara uifanyayo ya kudhohofisha upinzani ina matokeo hasi kwa chama chetu tawala. CCM itakuja kumeguka makundi makubwa mawili. ¡ kundi la wenye chama (kandambili)¡¡ kundi masilahi (laizoni). Siasa hizo unazofanya zilishapitwa na wakati. Yetu macho.
 
Back
Top Bottom