Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

Utaratibu huu wa kusema huyu ni mkubwa mimi mdogo siwezi kumkosoa ndio umesababisha ufisadi kushamiri kwa kiwango cha kutisha.

Tabia mbaya sana miongoni mwa waafrika ndio sababu Afrika hatuendelei.
Kwahiyo wewe baba yako ni mwenzako na mama yako ni shosti wako!
 
Sasa kwa nni anune, kama tataka kusamehewa na wengine hawatatakiwa kulipa kodi itabidi wasamehewe, yeye alikuwa kiongozi hivyo ni wajibu aonyeshe mfano.
Elewa na tenganisha biashara, kazi na uongozi, kwa mfanyabiashara pia jua haki zako, kama unaweza pata msamaha tumia, ila uwezi sema nalipa kodi sababu ni kiongozi na hamna maelezo hayo kwenye kulipa kodi serikalini, na akiomba msamaha ajafanya jinai yeyote. Shida hapa anafanya biashara, mnaleta siasa kwenye biashara zake, si vizuri, huko ni kudumaza uwekezaji hasa wa ndani!
 
Ameshajimilikisha Chama tayari, ule msemo ccm ina wenyewe hajauelewa vizuri naona..
Kajamaa juzi tu kalikuwa kanakiponda hicho chama eti leo kanasema 'chama chetu'.. 😂 😂 😂

Siku watakapo amua kukawekea playlist kajisikilize ndio katajua nini ni nini na nani ni nani..
 
Kwani yale ma kontena ya Baa Shiii Teee yalishalipiwa? Aache upupu wake huyu Chakubanga wazee wamewashika pabaya watulie dawa iingie

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnajadili watu badala ya mfumo, CCM ilishapoteza dira na mwelekeo (Horace Kolimba) tatizo lipo hapo. Mnayo jadili ni matokeo na sio kisababishi ( root cause) Kila mwaka mtasikia huyu sasa ndio atubadlisha lakini mfumo ni ule ule. Tujifunze kwa Angola au Ethiopia.
 
Hivi kweli Mzee Kinana awekwe kwny Kitimoto.na kina Pole pole kujibu Maswali yaliyotengenezwa na Albert Msando yule wa Gigy Money?

Hata kama ni kumtukana Kinana tutafute matusi ya hadhi yake!

Mzee Makamba ni boshen, anaetafutwa ni Jongwe Comrade Abdul rahman Omar Kinana Alhabshy!

Kazi kubwa inayowakabili kina Pole pole ni kulinda Mapinduzi ya 1964 kwny Uchaguzi huu lakin wao kwa ugen wao wa Siasa wanadhan kazi kubwa ni kumsambaratisha Mzee Kinana ambae kwa hiyari yake aliamua kuacha Ukatibu Mkuu!

Unaenda kucheza Mechi ya Fainali lakin uko busy kutuhumu na kudhalilisha Bench lako la ufundi na Kamati ya Ushindi

CCM imevamiwa na Nzige wanaohatarisha Uhai wa Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona abiria anang'ang'ania kuendelea na safari kwenye gari bovu ujue kuna mzigo wake muhimu kwenye gari hilo. Mleta post hii shuka tutakusaidia kuamisha mzigo wako kwenda kwenye gari safi na salama kwa ajiri ya safari yako murua.
 
Ndio siasa za chama Chakavu hizo.
 
Ukiona abiria anang'ang'ania kuendelea na safari kwenye gari bovu ujue kuna mzigo wake muhimu kwenye gari hilo. Mleta post hii shuka tutakusaidia kuamisha mzigo wako kwenda kwenye gari safi na salama kwa ajiri ya safari yako murua.
heshima yako mkuu, huo mstari wa abiria ndio nimejua kumbe sijui.!
 
Pole
Polepole amenukuliwa akiwatupia vijembe vinavyoonekana kuwalenga Makatibu Wakuu Wastaafu wa ccm baada ya kukacha mahojiano juzi huko Dodoma.

"Wakati Rais anamuagiza Waziri Mkuu kwenda kukagua makontena bandarini yupo kiongozi mkubwa wa Chama sasa ni mstaafu alikuwa ana makontena 700 Bandarini na hayajalipa Kodi, alivyoambiwa alipe kodi sasa ana korosho hivi moyoni kanuna vibaya mno" Polepole

“Ukizingua kwenye chama chetu hakuna mkubwa wala mdogo wote mnaitwa, ukikimbia huna tofauti na wapinzani tu, na watu wa hovyo kwenye chama chetu waondoke tu'' Polepole.

View attachment 1352950

Chanzo: Dar Mpya

==============
NB: Kama Kiongozi alikuwa ana Makontena 700 na hakutaka kuyalipia kodi ilikuwaje haikutangazwa wakati ule, anakuja kutangazwa saizi baada ya kugoma kuhojiwa?

Je, huko CCM kuna wanachama wangapi wanamadudu lakini sababu ni watiifu hamuwatangazi mnasubiri wakikosee chama ndio muwatangaze?

Kwa uzoefu wa Utawala huu je, tutarajie hawa wastaafu kupewa kesi za uhujumu Uchumi kwa kuonekana kukiabisha chama?

pole pole anapwaya hadi aibu
 
Back
Top Bottom