Humphrey Polepole avamiwa na majambazi

tayari scripts za movies zishaanza kuigizwa.... hamna lolote hapo.... tusije tukasikia kikosi cha ulinz cha Ukawa kimehuska.... maana hamshindwi...
 
Hakika hapa Jf kuna vichwa !
Jf's member anaesomeka kwa username Kyenju , ndiyo amenifanya niandike thrade hii.

Kyenju kupitia comment yake , humuhumu Jf amehoji kwamba Humphrey hadi saa 5 na ushee jana usiku , alikuwa chanel 10 kwenye kipindi (live) .
Binafsi mimi nilikua nakiangalia kipindi hicho .

Hoja muhimu ya Kyenju , anahoji tujiulize magazeti yanakua yamemakamilika kuchapishwa muda gani ?

Na tuanzie hapo :
Uzoefu unatuambia/tuonesha by saa 5 - 6 usiku magazeti hua tayari yashachapwa , na yaendayo mikoani hua tayari yako njiani .

Point muhimu hapa , ni saa ngapi Mr slowslow alifika home , na ni saa ngapi alivamiwa ? Saa ngapi polisi walifika kum'resque (kama ilivyoripotiwa gazetini)
Na ni muda gani habari zilifika chumba cha habari cha gazeti , zikahaririwa na kueditiwa ?
Na asubuhi zikaamka kwa walaji gazetini.

Ikumbukwe gazeti lililoripoti , ni gazeti lenye mahusiano na Uhuru/Daily news.

Wadau wangu hii makitu inaingia akilini ?
Tamthilia either !
 
Last edited by a moderator:
Tusipoteza Muda Kujadiri Hiki Kituko Hichi. Nadhani Nia Yao Ni Kutuamisha kwenye Hoja Ya Msingi Ili tusijadiri Nini Na Nani Chanzo Cha

UPUMBAVU Na UROFA Kama Sio CCM na Hao Wanaotutukana.
 
WP_20150825_012.jpg
 
Hao ni marafiki zake waliomtembelea sio majambazi. sema tu jamaa anapenda sana ujiko
 
BWN POLEPOLE amekuwa mwiba kwa LOWASA na mgombea wa ukawa. jana amevamiwa nybani kwake ambapo baada ya kuanza kumshambulia mgombeawa ukawa amekuwa akipata vitisho.
polisi wanaendelea na uchunguzi.

Hebu na wewe tumia akili ndogo ya kuzaliwa,Jana Polepole alikuwa chanell 10 mpaka SAA 5:30 usiku kipindi kilipoisha!Atoke hapo mpaka afike nyumbani ni saa ngapi?Hilo gazeti limepata taarifa muda gani?You r a fool if u buy that story!
 
Hakika hapa Jf kuna vichwa !
Jf's member anaesomeka kwa username Kyenju , ndiyo amenifanya niandike thrade hii.

Kyenju kupitia comment yake , humuhumu Jf amehoji kwamba Humphrey hadi saa 5 na ushee jana usiku , alikuwa chanel 10 kwenye kipindi (live) .
Binafsi mimi nilikua nakiangalia kipindi hicho .

Hoja muhimu ya Kyenju , anahoji tujiulize magazeti yanakua yamemakamilika kuchapishwa muda gani ?

Na tuanzie hapo :
Uzoefu unatuambia/tuonesha by saa 5 - 6 usiku magazeti hua tayari yashachapwa , na yaendayo mikoani hua tayari yako njiani .

Point muhimu hapa , ni saa ngapi Mr slowslow alifika home , na ni saa ngapi alivamiwa ? Saa ngapi polisi walifika kum'resque (kama ilivyoripotiwa gazetini)
Na ni muda gani habari zilifika chumba cha habari cha gazeti , zikahaririwa na kueditiwa ?
Na asubuhi zikaamka kwa walaji gazetini.

Ikumbukwe gazeti lililoripoti , ni gazeti lenye mahusiano na Uhuru/Daily news.

Wadau wangu hii makitu inaingia akilini ?
Tamthilia either !

Halafu tukisema jamaa huyu kanunuliwa anabisha. Hiyo channel 10 inayompa publicity huyu msaliti inabidi ijipime kama wanalolifanya ni sawa. Tuache wenye nchi waamue ni nani wanamtaka awaongoze na sio kulazimishwa kuongozwa na viongozi wasiowataka. Tudumishe amaini yetu.
 
Tusipoteza Muda Kujadiri Hiki Kituko, Nadhani Wana Nia Na Kutuamisha kwenye Hoja ili tusijadiri Chanzo Cha UPUMBAVU Na

UROFA Wetu Ni Nini Kama Sio CCM na Hao Wanaotutukana.
Kosa Lao ni kushindwa kujua kwamba polepole is nobody na kuvamiwa kwake si ajabu kwani ujambazi Tanzania umeongezeka

Coverage ya tv Tanzania ni asilimia ngapi

The boy is too small to surround himself with drama
 
Back
Top Bottom