Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Kuna maswali najiuliza mbona kama wanasiasa wa tanzania baraz Wana uwezo mkubwa sana katka comedy kuliko hata politics Kuna haja yakua halalisha kua politics in tz is directly proportional to comedy

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
๐Œ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ง๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฉ๐จ๐ญ๐ž๐ณ๐š ๐ฆ๐ฎ๐๐š ๐ฐ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐š๐๐ข๐ฅ๐ข ๐ฆ๐š๐ฐ๐š๐ณ๐จ ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š??

๐๐: ๐๐จ๐ฅ๐ž ๐ฉ๐จ๐ฅ๐ž ๐š๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฆ๐ฌ๐š๐š๐๐š ๐ฐ๐š ๐๐ก๐š๐ซ๐ฎ๐ซ๐š!
 
2991488_images_7.jpeg
 
Yuko sahihi kuzungumza hivo kwa nchi kama ya kwetu,lakini kwa watu wanaojielewa anaweza leta madhara makubwa san,angalia hujuma za uchaguzi uliopita ni ustaarabu tu wa raia tukapita salama.sema hawezi semalolote zuri kuhusu tume huru kwa yalotendeka miaka mitano ilopita
 
Ingekuwa vema ungeweka video yote ya polepole tukamsikiliza hoja Yake badala ya kunukuu maneno machache
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
na bado mpaka atubu uhuni waliofanya serikal za mitaa na uchaguz Mkuu 2020
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Labda tumshawishi aeleze ni kipi cha maana/muhimu kwake.

Watu wa namna hii wasiosimamia jambo lolote lile isipokuwa matumbo yao ndio wengi sana serikalini na kwingineko wakati huu.
Wameenea kila sehemu. Ili kuondoa kizingiti hiki ni kutingisha mti mzima na kuwapukutisha wote toka kwenye sehemu wanazozishikilia. Kundi pekee linaloweza kufanya mageuzi ya namna hiyo ni wananchi pekee. Kwa hiyo kazi kubwa iliyopo, kama nisemavyo siku zote, ni kufanya kazi na wananchi kila walipo, kuwaelimisha na kuwaongoza ili wapate kutimiza wajibu wao.
 
Kwani kulogwa ni nini?
Polepole ni sauti ya mtu aliae nyikani.....

Maisha hayana vitu vya kudumu
 
Back
Top Bottom