Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Huyu atakuwa kalaaniwa na Mungu.
 
Huyu ni kihoro cha kukosa uongozi na kuwekwa kushoto

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Amenenepa kwani wee humuoni? Anajipendekez kwa mama Samia
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Kunyang'anywa viieiti sii mchezo Tena full kipupwee, Tena la iliyokuwa rangi yake pendwa mboga mboga. Haya maisha acha tu🤔.
 
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Anarudi kwa mama taratibh huyo hayawani
 
Laana ya zile hela za watanzania alizotumia kununua wapinzani imeanza kufanya kazi...hayupo sawa...ni kweli..aombewe.
Naiwe hivyo na wote walionunuliwa Kwa matumizi haramu za Kodi za watanzania.
 
Back
Top Bottom