Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,571
2,000
Laana ya zile hela za watanzania alizotumia kununua wapinzani imeanza kufanya kazi...hayupo sawa...ni kweli..aombewe.
Naiwe hivyo na wote walionunuliwa Kwa matumizi haramu za Kodi za watanzania.
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,711
2,000
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu .

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
Kuna maswali najiuliza mbona kama wanasiasa wa tanzania baraz Wana uwezo mkubwa sana katka comedy kuliko hata politics Kuna haja yakua halalisha kua politics in tz is directly proportional to comedy

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Jp Omuga

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
5,154
2,000
Mtu aliyehusika kuratibu maoni ya wananchi kwenye Mchakato wa Katiba mpya ulioitwa KATIBA YA WARIOBA, aliyehusika kwenye kila kitu kwenye mchakato ule , leo anaibuka na kudharau waziwazi maoni ya wananchi

View attachment 2024346

Leo Polepole anasema kwamba Muundo wa Muungano si hoja ya maana , Madaraka ya Rais kwake leo si kipaumbele , hataki hata kusikia kuhusu Tume huru ya uchaguzi , eti si muhimu

Hivi huyu hata kama kalogwa mbona aliyemloga atakuwa katili sana ! Kulogwa ubongo ni jambo baya mno .
๐Œ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ง๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฉ๐จ๐ญ๐ž๐ณ๐š ๐ฆ๐ฎ๐๐š ๐ฐ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐š๐๐ข๐ฅ๐ข ๐ฆ๐š๐ฐ๐š๐ณ๐จ ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š??

๐๐: ๐๐จ๐ฅ๐ž ๐ฉ๐จ๐ฅ๐ž ๐š๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฆ๐ฌ๐š๐š๐๐š ๐ฐ๐š ๐๐ก๐š๐ซ๐ฎ๐ซ๐š!
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,818
2,000
2991488_images_7.jpeg
 

Pangamalsy

Member
Nov 22, 2021
18
45
Yuko sahihi kuzungumza hivo kwa nchi kama ya kwetu,lakini kwa watu wanaojielewa anaweza leta madhara makubwa san,angalia hujuma za uchaguzi uliopita ni ustaarabu tu wa raia tukapita salama.sema hawezi semalolote zuri kuhusu tume huru kwa yalotendeka miaka mitano ilopita
 

ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,228
2,000
Ingekuwa vema ungeweka video yote ya polepole tukamsikiliza hoja Yake badala ya kunukuu maneno machache
 

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,423
2,000
Wewe sio maiti..?? Kama sio Basi tuambie wewe ulitamani asemeje...usitumie matusi kutaka kulazimisha maneno yako katika kinywa chake...jamani fuateni katiba inavyosema juu ya Uhuru wa mtu kutoa mawazo

Mbona wakati wa Magufuli alikuwa anaunga mkono wakosoaji kutekwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom