Aliwahi kusema hatuhitaji wakuu wa wilaya, alafu akateuliwa ukuu wa wilaya akakubali.Ni kweli namkumbuka nikiwa Chuo polepole alituita mnazi MMOJA pale na haya ndo aliyosema..naamini Ana msimamo Sana huyu jamaa
Aliwahi kusema hatuhitaji wakuu wa wilaya, alafu akateuliwa ukuu wa wilaya akakubali.Ni kweli namkumbuka nikiwa Chuo polepole alituita mnazi MMOJA pale na haya ndo aliyosema..naamini Ana msimamo Sana huyu jamaa
Well said huyo kijana awekwe ndani he is more dangerous than Mbiowe. Atajulia wapi ya canids. Denmark ni wale 110% progressive countries. Ana pings hata chanjo, hata hata basis. Anampinga speaker. Ni chanjwa no erection, ni kweli? Upumbafu mtupu. Enzi za Nyerere angekuwa kizuizini huyo. Siku hizi watu watapika anything and no action from the govt. this guy is more dangerous .Nakuunga mkono... Hii nchi kuna baadhi ya watu huwa nashindwa kujua walipewaje nafasi za uongozi. Denmark kwa wasiojua wametusaidia mambo mengi sana kwa sekta mbalimbali kama: Misitu, Elimu, vyuo vya ufundi (NVTC enzi hizo na sasa VETA) na nyingine nyingi sana kupitia shirika lao la DANIDA... hii ilikuwa kuanzia miaka ya 1970 na kuendelea.... Vijana hawa wa juzi wanaweza wasijue lakini ukweli ni kwamba hawa DANIDA, kama ilivyokuwa kwa NORAD (shirika la misaada ya maendeleo kutoka nchi ya Norway), SIDA ni la Sweden na wengine wamekuwa na mchango mkubwa sana kwetu.
Mama inabidi akae na wadau wa Sweden Norway na Denmark kwa sisi watu wazima hawa walitusaidia sana TZ kupitia SIDA, NORAD na DANIDA.Polepole u don’t need a physical presence in country, Denmark is one of the progressive countries in the world. Technologies, they can be anywhere and still do business with us. Wewe kijana una akili ya kuku. Your views are dangerous you should be locked up and not locking up Mbiwe.
Mkuu ume quote comment yangu na ulichoandika hata hakiendani na nilicho comment.Polepole u don’t need a physical presence in country, Denmark is one of the progressive countries in the world. Technologies, they can be anywhere and still do business with us. Wewe kijana una akili ya kuku. Your views are dangerous you should be locked up and not locking up Mbiwe.
BeberuAmeongea kama nani?
Denmark pamoja na nchi za Nordic zimefanya mengi hapa nchini kimaendeleo.
Na hazikuwahi kutawala nchi yoyote kama koloni.
Hivyo kuwaita mabeberu si tu ujinga wa kukosa elimu bali ukosefu wa hekima kiujumla.
Polepole katoa shule nzuri sana, narecommend watu kuangalia video yote
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
Ukiona hapa JF uzi unajibiwa kwa vijembe na mitusi (personal attacks) ujue kuna nondo za maana!
Kwa wenye ufahamu tayari tumepata kitabu "The Looting Machine" by Tom Burgis Ngoja niendelee kufaidi "shule ya uongozi"
Mkuu umemsikilza au umetumia maneno ya waengne?? Unajua ametumia mda gan kuongea?? Ameongea nn?? Wapi kakosea(kwa mtazamo wako?) Shida ipo wapi?? Kutukana tu bila kuwa na justification Ni sawa na kutabasam gizani..Huyy jamaa bado ana akili za kiawamu 5 enzi za mwendazake
Hivi unayajua matusi kweli? Haya wapi nmetukana hapo?Mkuu umemsikilza au umetumia maneno ya waengne?? Unajua ametumia mda gan kuongea?? Ameongea nn?? Wapi kakosea(kwa mtazamo wako?) Shida ipo wapi?? Kutukana tu bila kuwa na justification Ni sawa na kutabasam gizani..
Kwa miaka 60, CCM Waonyeshe walichofanya na siyo kusingizia mabeberu. China, Malaysia, Singapore, nk, wanatengeneza kila aina ya bidhaa na kuuza dunia nzima. waache porojo.
Polepole au Bwana Slow slow aache ujinga, enxi za mwenda zake is no more!!Mama akija kushituka, itakuwa imekula kwake.
Mama anaaminishwa Mbowe na CHADEMA ndio maaduii wake, kumbe maadui wake wamo humo humo katika chama chake na serikali yake.