Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,630
- 1,735
Kwani alishawahi kugombea jimbo gani mhuni wa stendi huyo laana ya ununuzi wa binadamu inamtafuna.
Kwanza ana jimbo? Tuanzie hapoMtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na ccm ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa awamu ya 5 Dr Magufuli , ikumbukwe kwamba Hayati Magufuli alijiapiza hadharani waziwazi bila kuogopa Katiba wala Mungu kwamba HATOPELEKA MAENDELEO MAHALI WALIKOCHAGUA WAPINZANI .
Leo Polepole aliyekuwa mshika fungu la ununuzi hataki kugombea Ubunge popote kwa kile alichodai Hana Karama na cheo hicho , amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi kwenye eneo lingine , labda ni kwenye ile shule ya uongozi ambayo yeye ndiye Mkufunzi Mkuu.
View attachment 2002167
Dakawa hakuna dili nako bora afundishe skuli ykeAje tukalime mpunga huko dakawa
Ova
Hata hivyo kutokana na matamshi yake anaenyesha Dalili ya kuachia ngazi kwa siku za karibuni.Polepole hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani ya CCM, hata angesema anataka Ubunge hakuna jimbo lolote anaweza kushinda! Hawa ni watu ambao hawakuwa na political background yoyote wakabebwa na mbeleko ya Magufuli na kuwafikisha hapo walipo!
Nguvu zao za kisiasa zilijengeka katika misingi ya unafiki na kujipendekeza!
Kwa kuwa "Mungu" wao kafa na wao automatically wamekufa kisiasa!
Kwa hiyo Polepole aache uongo ama adanganye wajinga.Kama hataki ubunge au hana karama nao basi AJIUZURU LEO.
Kumbe wabunge wengi wa upinzani walikuwa wanasiasa Malaya MalayaMtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na ccm ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa awamu ya 5 Dr Magufuli , ikumbukwe kwamba Hayati Magufuli alijiapiza hadharani waziwazi bila kuogopa Katiba wala Mungu kwamba HATOPELEKA MAENDELEO MAHALI WALIKOCHAGUA WAPINZANI .
Leo Polepole aliyekuwa mshika fungu la ununuzi hataki kugombea Ubunge popote kwa kile alichodai Hana Karama na cheo hicho , amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi kwenye eneo lingine , labda ni kwenye ile shule ya uongozi ambayo yeye ndiye Mkufunzi Mkuu.
View attachment 2002167
Pole Pole Hajawahi kupata Nafasi Kwa Kugombea JukwaaniMtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na ccm ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa awamu ya 5 Dr Magufuli , ikumbukwe kwamba Hayati Magufuli alijiapiza hadharani waziwazi bila kuogopa Katiba wala Mungu kwamba HATOPELEKA MAENDELEO MAHALI WALIKOCHAGUA WAPINZANI .
Leo Polepole aliyekuwa mshika fungu la ununuzi hataki kugombea Ubunge popote kwa kile alichodai Hana Karama na cheo hicho , amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi kwenye eneo lingine , labda ni kwenye ile shule ya uongozi ambayo yeye ndiye Mkufunzi Mkuu.
View attachment 2002167
Anajua fika alivyopoteza mvuto na ushawishi kwa umma, baada ya kuwa kinara kwenye siasa chafu za Magufuli. Hivyo anajua fika akiingia kwenye uchaguzi bila support ya vyombo vya dola hawezi kutangazwa mshindi kwa shuruti.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteChifu Hang ya hatarudisha jina lake.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Nanyi ukinzani mbona nongwa?! Mie nilifikiri mtafarijika! Mwenzenu kaona mbali. Yaliowakuta kina Musiba na msiba, Sabaya, Dr Bashiru na wengineo hasa waliopoteza maisha si mchezo! Mwacheni mwanaccm apumzike kwa kutoa madini ya uongozi bora kwa makada wote, ndio mpaka wa ukinzani!Mtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na ccm ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa awamu ya 5 Dr Magufuli , ikumbukwe kwamba Hayati Magufuli alijiapiza hadharani waziwazi bila kuogopa Katiba wala Mungu kwamba HATOPELEKA MAENDELEO MAHALI WALIKOCHAGUA WAPINZANI .
Leo Polepole aliyekuwa mshika fungu la ununuzi hataki kugombea Ubunge popote kwa kile alichodai Hana Karama na cheo hicho , amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi kwenye eneo lingine , labda ni kwenye ile shule ya uongozi ambayo yeye ndiye Mkufunzi Mkuu.
View attachment 2002167
Heri kusota ukonga kuliko chini ya ardhiMi
Misukulr inajafili wengine badala ya kujadili menyekiti wao anavyosota.
Comment yenye akili sanaPolepole hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani ya CCM, hata angesema anataka Ubunge hakuna jimbo lolote anaweza kushinda! Hawa ni watu ambao hawakuwa na political background yoyote wakabebwa na mbeleko ya Magufuli na kuwafikisha hapo walipo!