Humphrey Polepole adai hana mpango wa kugombea ubunge 2025

Awamu iliyopita nilimuita chakubanga ila kidogo naanza kumuelewa
Tumepoteza dira
Haiwezekani wezi waingie hospitali kuiba while serikali ipo.
 
Ameusoma upepo, na sijui leo huko bungeni anamuwakilisha nani?
Jinga sana hili lipolepole.
Yeye huko bungeni anamuwakilisha mwendazake, bungeni kateuliwa na mama Samia!
Hata chama chake hakiwakilishi bungeni!
Hata kama amausima upepo hili jamaa ni lijinga sana kuelewa.
 
Kwa nchi zilizositarabika, Polepole hakupaswa kuwa hapo alipo leo. Polepole alikuwa ni liability, hebu tujiulize wabunge aliowanunua kutoka upinzani wameleta impact gani kwenye chama cha mapinduzi?? walikuja na nani??? je baada ya wabunge hao kuunga mkono juhudi je ni wananchi wangapi waliwaunga mkono???
 
Mtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na ccm ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa awamu ya 5 Dr Magufuli , ikumbukwe kwamba Hayati Magufuli alijiapiza hadharani waziwazi bila kuogopa Katiba wala Mungu kwamba HATOPELEKA MAENDELEO MAHALI WALIKOCHAGUA WAPINZANI .

Leo Polepole aliyekuwa mshika fungu la ununuzi hataki kugombea Ubunge popote kwa kile alichodai Hana Karama na cheo hicho , amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi kwenye eneo lingine , labda ni kwenye ile shule ya uongozi ambayo yeye ndiye Mkufunzi Mkuu.
View attachment 2002167
Wewe ni nyumbu pro max,Unaaminigi ujinga na kuongoza nyumbu wenzio
 
Pesa kama hizo lazima ziwe na laana kutoka kwa Mungu maana alikuwa anafanya biashara haramu.
Si unamuona sasa hivi kama amechanganyikiwa fulani hivi, ukichanganya na dhambi ya kuwaambukiza wasichana wengi ngoma kwa ahadi ya kuwapa ubunge wa vitu maalum,ana laana kubwa tu.
 
Mtu huyu ambaye aliongoza kikosi cha ushawishi ( ununuzi ) wa wabunge wa Upinzani , kwa kuwashawishi wajiunge na ccm ili majimbo yao yapate Maendeleo ya upendeleo kutokana na msimamo wa Rais wa awamu ya 5 Dr Magufuli , ikumbukwe kwamba Hayati Magufuli alijiapiza hadharani waziwazi bila kuogopa Katiba wala Mungu kwamba HATOPELEKA MAENDELEO MAHALI WALIKOCHAGUA WAPINZANI .

Leo Polepole aliyekuwa mshika fungu la ununuzi hataki kugombea Ubunge popote kwa kile alichodai Hana Karama na cheo hicho , amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi kwenye eneo lingine , labda ni kwenye ile shule ya uongozi ambayo yeye ndiye Mkufunzi Mkuu.
View attachment 2002167
Atakuwa amepata mtaji wa kujengea madarasa ya shule yake. Mshahara jumlisha kinua mgongongo
 
Polepole ni bright sana sio ajabu hata akiongea iko wazi wenye wivu wa akili wanajionesha. Watz wapumbavu kabisa unafiki mnaozungumza wa polepole upo kwenye intelligence yake ya kumsoma mtu kwa wakati husika na hio pia ni akili na kipaji. Tumieni akili kwa hakuna watuvwalihudumu uongozi wa Hitler, Musolini, Idd Amin, na wakawa sehemu ya tawala zilizofata.

Pumbavu mnaacha kuwaonea wivu akina Ridhiwani na Akina Hussein Mwinyi. Tumieni akili sawasawa na kwa watu sahihi wanaostahili kuonewa wivu na usiwe wivu wa kichawi.

Polepole ni mnyenyekevu, mzalendo, anauelewa na ni mweledi maswala ya siasa na uongozi, mtiifu.

Most/All of his political elevations were by the grace of God.

-The obvious should be noticed by even the rampant fools.

Na mapimbi wengi hata kwa accent tu ya English yake mtajamba upupu.
Ndugu,
Yaonekana umelipwa ili ANGALAU umpulizi japo 'manakato'. Polepole hana sifa hizo ndio maana sasa anawayawaya.
Pale alipolegea kwa tamaa akaitema agenda ya katiba ya wananchi ndipo alipojivua nguo na kuthibitisha kuwa hana uzalendo wowote wala uelewa/weledi katika siasa. Hoja zake hazina ushawishi ila zimejaa ujeuri na utoto wa kujivunia 'kununua' watu. Aidha misimamo yake imejaa unafiki na hoja zinazokinzana na juhudi zote za kuimarisha na KULINDA utawala bora.
 
Back
Top Bottom