Human Life is Cheap Ukilinganisha na Mfisadi Mwenye Vijisenti wa CCM?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Ndugu Watanganyika kupoteza Roho za watu wawili bado haiwezi kuwa juu ya Sheria za Mtu Mkuu katika CCM? hii ni Mara ya pili hii ilitokea kwa Ditopile Mzuzuri na Sasa Mzee wa Vijesenti Andrew Chenge.
Hivi hakuna CIVIL LAWSUIT? Ndugu wa Marehemu kudai Mtuhumiwa? kwa Pesa?
Hii inaonyesha CCM inavyokithiri Madaraka ya Mtu hai
Jamani Tufanye nini??
 
Back
Top Bottom