Human Evolution ni Nidharia ya uongo yenye Ubaguzi

kaligopelelo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,761
3,938
Wanasema binadamu alitokana na jamii ya nyani (sokwe).

Then evolution ikatake place hatua kwa hatua huku akipitia vipindi tofautitofauti kama vile HOMOSAPIENS,HOMOHABILLIS & ZINJANTHROPUS.

Swali langu la msingi ni hili;
1. Hii jamii ya nyani ambayo mpaka kesho wapo,wakati wenzao wapo kwenye evolution wao walikuwa wapi?
2. Kwanini tusishuhudie mabadiliko yao kama tu zile sababu za evolution zinaendelea kuwepo?
3. Je,tuendelea kutegemea evolution nyingine kutoka hatua hii tuliyopo au tumeshafika mwisho.
 
Wanasema binadamu alitokana na jamii ya nyani (sokwe). Then evolution ikatake place hatua kwa hatua huku akipitia vipindi tofautitofauti kama vile HOMOSAPIENS,HOMOHABILLIS & ZINJANTHROPUS.
Swali langu la msingi ni hili;
1. Hii jamii ya nyani ambayo mpaka kesho wapo,wakati wenzao wapo kwenye evolution wao walikuwa wapi?
2. Kwanini tusishuhudie mabadiliko yao kama tu zile sababu za evolution zinaendelea kuwepo?
3. Je,tuendelea kutegemea evolution nyingine kutoka hatua hii tuliyopo au tumeshafika mwisho.
Kaisome evolution vizuri alafu ndo ujenge hoja,kwa maswali yako ina onesha hata maana ya evolution hujui ni ngumu kujibiwa
 
Kwa nn blacks katika ubaguzi tunarushiwa ndizi ilihali kuna yellow baboons maana wenzetu wamekomalia gorillas tuuu.
Historicaly wazungu walikuwa mtu mweusi wanamfanyia maonyesho na kujipatia hela. Kwahiyo walikuwa wanawachukulia kama wanyama kutokana na lifestyles na rangi.
 
Kaisome evolution vizuri alafu ndo ujenge hoja,kwa maswali yako ina onesha hata maana ya evolution hujui ni ngumu kujibiwa
Ungesema nimekosea wapi halafu uje na uhakika wa jambo lenyewe ingekaa poa sana.
 
Ungesema nimekosea wapi halafu uje na uhakika wa jambo lenyewe ingekaa poa sana.
sio umekosea umejengea hoja kitu ambacho hukielewi
ungekuja na maswali ya kufundishwa kwanza evolution...wewe maswali yako yanatengeneza hoja ya kuipinga evolution kabla hujaielewa
mfano umechanganya stages za human evolution na human history
 
Nakubaliana na wewe mkuu, ni vyema angeielewa hiyo evolution kwanza ndio angetengeneza hoja na bila shaka angepata msaada kuliko alivyokurupuka na kuja kutapika humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom