- Thread starter
- #21
Nyie ni LDC so tulia hadi miaka 50 ndo mjitoe humo,category ya walotupwaYani wamefika tu kenya kwa afrika nzima na wameamua kua kenya ni heaven in earth! Kweli wanawafanya wakenya mafala. Sasa na wakenya wenyewe mnaikubali hiyo?