britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #21
KumbeNa sisi hatuko salama sana mh. britanicca tahadhari muhimu.
KumbeNa sisi hatuko salama sana mh. britanicca tahadhari muhimu.
mkuu ni kuwa walitakiwa au tulitakiwa? Mpaka hapo tushafeli maana kila mtu anahisi ni kazi ya mtu mwingine kuandamana.I
Yale maandamano ilibidi watu wajimobilize Jumapili, siku inayofata i.e Jumatatu watu wanaingia barabarani
hahaaKwanza tambua laki ni pesa
Hahahahaa
Hapo sasa, natamani ningekuwa Tanzania, wangenikoma kwa movements mbali mbali, yaan mtu anatekwa tunaishia kuandika bring back Ben saa naneWee britanicca umesahau kuwa hili Taifa ndio nchi inayoongoza kwa idadi ya watu wa nafiki...??!!!
sasa hiyo #bringback ina saidia nini !!!?, hata hao watekaji wakati wana panga mipango yao Walikuwa wanajua tu kuwa " watanzania watabakia kubweka bweka tu mithili ya mbwa mbele ya chatu lakini mwisho wa siku huwa anaishia kuliwa tu ...
Watanzania ni jamii ya Wanyama nyumbu mbele ya simba/ chui wenye meno na makucha makali
Kazi kweli kweli .. Taifa la wana kondoo hili ", huwa tunainamisha vichwa mbele ya mchinjajiHapo sasa, natamani ningekuwa Tanzania, wangenikoma kwa movements mbali mbali, yaan mtu anatekwa tunaishia kuandika bring back Ben saa nane
Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,
Kuna ka utaratibu ka watu kupotea alafu watanzania solution pekee ni hashtag ya bring someone back, na kulala wakidhani wameplay role yao vya kutosha,
Watu inakuwa fursa ya kuuza mpaka ma tshirt ya bring someone, nawaambieni kwa utaratibu huu watakuwa wanapotea mnaandika bring back na mnasahau na hawapatikani,
Najua ntaulizwa eti nini kifanyike, sitasema nini kifanyike, ila za kuambiwa changanya na zako
Kweli mkuu daah shida ni ile nani analianzisha ndo watu tunaunga ilo ndo tatizomkuu ni kuwa walitakiwa au tulitakiwa? Mpaka hapo tushafeli maana kila mtu anahisi ni kazi ya mtu mwingine kuandamana.
Mizania yako ya ulinganifu ina kasoro!Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,