SPACED
Senior Member
- Jun 7, 2016
- 137
- 132
Wadau naomba tuzungumze katika jambo hili, baada ya Dr. Tulia kupewa rungu ya kuongoza bunge kumekuwa na vikao kadhaa vya kamati ya maadili ya bunge na bila shaka sote tumekuwa tunashuhudia uamuzi na adhabu zinazofikiwa na kamati hiyo.
Maswali yangu ninayojiuliza mara nyingi ni je kamati hiyo ni huru? maamuzi yanayofikiwa ni ya haki na yanaridhiwa na wabunge wa vyama vyote pinzani wanaounda kamati hiyo?
Maswali yangu ninayojiuliza mara nyingi ni je kamati hiyo ni huru? maamuzi yanayofikiwa ni ya haki na yanaridhiwa na wabunge wa vyama vyote pinzani wanaounda kamati hiyo?