balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,179
- 13,499
mkuu uliwahi kuf**a? hill neno umelitaja Mara nyingi Sana.Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumf**ira binti wa Yombo Dovya ni kiinimacho ambacho kimetumiwa na serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukoangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumf**ira binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti aliyetakiwa kumuoba radhi afande yupo. Kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wafiraji wangeminywa pu**mbu laxima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wafiraji wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafi**rwa na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomf**ira binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe? Huu ni upimbi.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa raisi baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisingeleak mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumf**ira.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.