mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,261
- 44,737
Hao ndugu zake ulishawahi kuwaona walimsapoti kwenye harakati za chama?Yeye mwenyewe ana ndugu wapo huko
Sheria gani inayosema usiwe rafiki na mwanajeshi? Au unadhan mahakaman pale inaenda mitazamo?