Hukumu ya mgombea Ubunge Kilombero leo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,974
13,615
Ile kesi inayomkabili mgombea Ubunge jimbo la Kilomberokwa tiketi ya CHADEMA bwana Peter Lijualikali itasomwa leo. Lijualikali anashtakiwa kwa kosa la kumzuia bibi samaki kufanya kazi yake. Hali ya taharuki imeanza kuonekana tangu Jana baada kuonekana gari tatu za polisi wa kuzuia fujo zikipita hapa kwa kasi zikitokea Morogoro.

Hivi navyoandika, makundi makubwa ya vijana yanaelekea mahakamani kusikiliza hukumu hiyo na endapo mahakamani itamtia hatiani na kumfunga nategemea kutokea kwa vurugu kubwa.

Picha zitafuta
 
Back
Top Bottom