Huyu dogo hana heshima kabisa, ukiachana na cheo, Magufuli ni sawa na baba yake kiumri. Hakupaswa kumtolea maneno kama hayo.

CHADEMA fundisheni vijana wenu maadili sio kun fu tu.
Mpakwa mafuta alikuwa mkabila,mkanda,alifanya hadi ubaguzi wa rangi.Mpakwa mafuta alikuwa anatukana watu kuwa wabaki na mavi yao nyumbani.Hii ni heshima?
 
Mwenda zake alikua mtu WA ajabu
Sana udikteta ulimzid

Kenya rais WA Kenya aliwah kuitwa
Mbwa akiwa na mama yake na
Aliemtus hakumfanya kitu na alikua mbunge wa upinzan
Kila nchi na tamaduni zake. Kama za Kenya unazipenda, unahamia huko tu!
 
Kwahyo Magu bado yupo?

We nae hua lisenge kweli.
Mpakwa mafuta hayupo ila bado kivuli chake ndicho kinatawala nchi kwa madaha.
Eb3rS.jpg
 
Kuna mtu huko nchi za wenzetu, kamchapa Rais kofi. Adhabu yake kafungwa miezi 4. Huku kwetu Mdude kakaa lumande muda gani???
Huku kwetu wasanii wanapigwa vita kisa wamechagua kuwa chama tawala wanalazimishwa kuwa wanaharakati, wale wenzetu tunatofautiana kwa vingi sana.
 
Mh.RAIS WETU MAMA SAMIAH LIONE SUALA NA UINGIWE NA HURUMA NA NDG HUYU AACHIWE HURU,"KI UKWELI WATANZANIA HATUWEZI KWENDA MBELE KWA HIZI SLOGAN ZA KWAMBA SISI NI WANYINGE"SLOGAN HIZI NDIZO ZINAZOZIDI KUWAANGAMIZA WATANZANIA KIFIKRA,KAULI HIZI ZA UNYONGE NI ZA KUKEMEWA KAMA JINSI TUNAVYOKEMEA MAPEPO.
 
We naye huna hata akili...hapo kuna neno gani baya unalooona km siyo la heshima!?? Kukataa kuitwa wanyonge au au kusema mnyonge ni bibi yake!?? Nyie wajinga ndo mlimfanya mwendazake ajione amekamilika kila kitu!
Ila kuna watu wamekamilika na hawana mbadala viatu vyao hakuna wa kuvivaa Tanzania nzima, Unafikiri mtu kama Mbowe yule angekuwa na mapungufu si angeshabadilishwa toka kitambo ila hana mbadala ni kiumbe cha kipekee.
 
Hakuna mtu anawapiga vita wasanii kisa wamechagua kuwa CCM.Wasanii wanapigwa vita kwa kosa la kuunga mkono utawala usioheshimu haki za binadamu na demokrasia.
Ndio maana nikasema pia wanalazimishwa kuwa wanaharakati.
 
Ndio maana nikasema pia wanalazimishwa kuwa wanaharakati.
Kukemewa kwa kuunga mkono maovu ni kulazimishwa kuwa mwanaharakati?Kwa hiyo watu wakifanya maovu au wakiunga mkono maovu wasikemewe kisa ni kuwalazimisha kuwa wanaharakati?
 
Back
Top Bottom