Hukumu ya Kesi ya Membe dhidi ya Cyprian Musiba yaahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Maccm Yana shida sana,
Musiba alitumiwa na sukuma gang kuwachafua wenzie,JPM alipokufa tu,na yeye chali !!!kwishney!! Sasa aliowatukana wanamshitaki !!!
Ila kwa vile wote ni walewale,CCM,hii kitu imehailishwa Ili wajipange,kuwaokoa wote,Membe na Musiba,Ili uko mbele wanaweza wakawatumia kwenye kampeni
Musiba alishitakiwa kabla Magufuli hajafa
 
Pumbavu sana huyu Kilio na wenzake,wamedhalilisha na kuwapaka matope viongozi wetu wastaafu wakidhani hii dunia wameshaipatia..wakasahau kuwa dunia INA mizunguko miwili kwanza inajizungusha yenyewe kwenye mhimili wake pili inalizunguka jua..wakanyee ndoo tu ili iwe fundisho kwa wengine

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom