We vipi? Kwa nini msitafute huyo mwenye Id fake? Kwanini unadhani jamaa wanaomba Ip address. Acha kuropoka.Arushaone,
Naamini busara itatumika. Basically kama member wa JF kwa kutumia ID fake anazusha uwongo kuwa kuna wizi au ubadhirifu kwenye taasisi fulani,
dawa siyo kumtafuta huyo mwenye fake ID bali ni kukanusha kwa evidence tu. Then mamlaka husika zitapima upi ukweli na upi uwongo.
Kila ninapo comment huwa unanitukana. Siwezi kukurudishia kwa kuwa watu watashindwa kujua kati ya wawili nani ni mpumbavu.We vipi? Kwa nini msitafute huyo mwenye Id fake? Kwanini unadhani jamaa wanaomba Ip address. Acha kuropoka.
Wapi nimeweka tusi bro?Kila ninapo comment huwa unanitukana. Siwezi kukurudishia kwa kuwa watu watashindwa kujua kati ya wawili nani ni mpumbavu.
Soma sentensi ya mwisho kwenye post #28. Umeandika "Acha kuropoka".Wapi nimeweka tusi bro?
Sio tusi mkuu,na mimi nilikuwa naweka wazi kuwa hata hao wanaoweka fake Id watambue endapo Ip adress zao zikipatikana wazee wa kazi wanadaka,hivyo waache kutukana na kutoa habari za uongo hovyo,maana wanamletea usumbufu mmiliki wa Jf.Soma sentensi ya mwisho kwenye post #28. Umeandika "Acha kuropoka".
Nami nilikuwa na argue juu ya kushindana na hoja za uwongo kutoka kwa JF IDs
Zzßszzassssszzzzßzzzzzzdldksszzkooooxzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzlzlgkfsszzlppxxlxxxxxxxslllssssssdddddksssssssssssswsssdppßswsowwwe2áww2w2lllwssslww2oo3wloooekklkklllllellwwwwwaßw2aàwwwsaswwswwsseeeessssssszsdddddsSio tusi mkuu,na mimi nilikuwa naweka wazi kuwa hata hao wanaoweka fake Id watambue endapo Ip adress zao zikipatikana wazee wa kazi wanadaka,hivyo waache kutukana na kutoa habari za uongo hovyo,maana wanamletea usumbufu mmiliki wa Jf.