Hukumu ya kesi namba 456 ya 2016 inayowakabili Wakurugenzi wa Jamii Media kusomwa leo (Aprili 2, 2020)

Wanachotaka hapo ni pesa tu, Kisutu Revenue Authority. Max tutachanga kama ulazima wa kufanya hivyo ukiwepo. Wasitutishe
 
Arushaone,
Kwa nini wahusika wasiwashtaki M &M kwa kashfa kama ni uongo? Jamhuri inajiingizaje katika hili? Polisi wawatake tena raia kutoa taarifa za hujuma wanazozibaini kwenye jamii? Polisi fiksi tu!
 
Arushaone,
Naamini busara itatumika. Basically kama member wa JF kwa kutumia ID fake anazusha uwongo kuwa kuna wizi au ubadhirifu kwenye taasisi fulani,

dawa siyo kumtafuta huyo mwenye fake ID bali ni kukanusha kwa evidence tu. Then mamlaka husika zitapima upi ukweli na upi uwongo.
We vipi? Kwa nini msitafute huyo mwenye Id fake? Kwanini unadhani jamaa wanaomba Ip address. Acha kuropoka.
 
Kwajinsi mwenendo wa hukumu inavyoelekea,anaweza kupigwa fine (ndefu) kama zile walizopigwa Viongozi wa CDM.
Tujiandae wana JF kudunduliza hadi fine itoshee. Maxence Melo andaa namba yenye kupokea muamala mrefu,usijepanda karandinga.Unatokea hapo hapo mahakamani.
 
Soma sentensi ya mwisho kwenye post #28. Umeandika "Acha kuropoka".

Nami nilikuwa na argue juu ya kushindana na hoja za uwongo kutoka kwa JF IDs
Sio tusi mkuu,na mimi nilikuwa naweka wazi kuwa hata hao wanaoweka fake Id watambue endapo Ip adress zao zikipatikana wazee wa kazi wanadaka,hivyo waache kutukana na kutoa habari za uongo hovyo,maana wanamletea usumbufu mmiliki wa Jf.
 
Sio tusi mkuu,na mimi nilikuwa naweka wazi kuwa hata hao wanaoweka fake Id watambue endapo Ip adress zao zikipatikana wazee wa kazi wanadaka,hivyo waache kutukana na kutoa habari za uongo hovyo,maana wanamletea usumbufu mmiliki wa Jf.
Zzßszzassssszzzzßzzzzzzdldksszzkooooxzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzlzlgkfsszzlppxxlxxxxxxxslllssssssdddddksssssssssssswsssdppßswsowwwe2áww2w2lllwssslww2oo3wloooekklkklllllellwwwwwaßw2aàwwwsaswwswwsseeeessssssszsddddds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom