baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,456
- 2,179
Kwanza kabisa naipongeza Serikal kwa kusimamia maadili ya Utumishi wa Umma hii imesaidi sana kupunguza malalamiko na kuleta maendeleo chanya .
Ndugu wana JF siko kutetea uovu wala kupingana na amri ya mahakama ilaa Nina mawazo fikirishi kuhusu adhabu aliyopewa huyu muhujumu uchumi Aloyce Masanja
Binafsi naona wenye mamlaka wengemuondolea adhabu ya kifungo ili alipe faini mbadala wa kifungo nikiwa na hoja zifuatazo
1.MTU huyu ni mwekezaji katika maswala ya elimu akiwa anamiliki chuo cha kisasa kabisa cha maswala ya kilimo na akiwa na ndoto ya kuwa na chuo kikuu
2.MTU huyu anasidia wanafunzi maskin kusoma chuoni kwake bila kulipa chochote na kuwapunguzia ada wale wenye uhitaji
3.MTU huyu anatoa ajira kwa vijana wengi waliomaliza vyuo
4.MTU huyu anasaidia sanaa wajasiliamali kujifunza maswala ya kilimo ,mifugo na uvuvi kwa kozi fupi fupi
5.MTU huyu ni chachu ya maendeleo na kati ya watu wenye akili za kiuongozi ndo maana alitia nia kugombe ubunge wa jimbo la segerea ili aweze kuwasaidia watu wengi zaidi mahala chuo chake kilipo
Mwisho : Ombi kwa mamlaka husika MTU huyu aangaliwe kwa jicho pana zaidi na aonewe huruma ili badala ya kifungo aweze kulipa fidia kwani miaka aliyohukumiwa ni mingi kwa ustawi wa uwekezaji na pia ni kilio kwa vijana wengi wanaopita ,waliopita na watakaopita chuoni kwake .Na imani hukumu hii imeacha vilio vingi sanaa kwa vijana waliopita kwake na wengi wanaomba mamlaka ziweze kumpunguzia adhabu ya kifungo.