Elections 2010 Hukumu ya Igunga leo WANANCHI KUAMUA NANI AWE MBUNGE WAO

Mch.Temba ni mtu wa CCM na kazi yake ni kama Shehe Yahaya Husein.Aliwahi kufukuzwa ukumbi Nkuruma kwa kupinga katiba mpya akiwa na Bangenda
 
WANA-IGUNGA TWENDE SASA TUKAPIGE KURA MAPEMA MAPEMA TU

UCHAGUZI wa Igunga umeanza alfajiri hii watu wakijihimu kuelekea vituoni kutekeleza wajibu wao kama raia wema kwa kuzingatia katiba yetu inavyotamka.

Katika uchaguzi huu wa leo, wananchi wenye itikadi mbalimbali wanategemewa kushiri kujiamulia nani awe kiongozi wao mara baada ya FISADI Rostam kupigwa chini na dhambi zake mwenyewe ingawaje wananchi baado hatujamalizana naye hata kidogo.

Ni jumla ya vijiji vyote 98,na kata zote 26 za IGUNGA zitakazoshiriki katika uchaguzi huu wa leo. Kata zenyewe kwa majina ni kama ifuatavyo:
1. Bukoko
2. Chabutwa
3. Choma
4. Igoweko
5. Igunga

6. Igurubi
7. Isakamaliwa
8. Itumba (Igunga)
9. Itunduru
10. Kining'inila

11. Kinungu
12. Mbutu
13. Mwamashiga
14. Mwamashimba
15. Mwashiku

16. Mwisi
17. Nanga
18. Ndembezi
19. Ngulu
20. Nguvumoja

21. Nkinga
22. Ntobo (Igunga)
23. Nyandekwa (Igunga)
24. Simbo
25. Sungwizi

26. Ziba

NB: Ni matarajio yetu kwamba tangu hivi sasa JF tutaanza kupata taarifa mbali mbali kutoka Igunga kuhusiana na mazingira yote ya uchaguzi wa leo hadi zoezi zima litakapohitimishwa.

Wana-JF natumai mmekwishajipanga vizuri kote kama ilivyo ada.
 
Mzee wa kujivua gamba kaingilia kati nn,kuwaonesha yy ni nani jimbo lazima lipotee tu,liwalo na liwe
 
MCH.TEMBA AMBAYE YUPO IKULU ZAMBIA AMEOTESHWA NA MIUNGU YAKE KUWA CCM IMESHINDA LAKINI MSHINDI WAKE YUPO KWENYE MACHELA.sou

hivi watumishi wa Mungu wanatoka wapi na haya yapitayo ya kaisari?
 
Mch.Temba ni tapeli na wala hana kanisa.Amekuwa akisali kwa Mch Rwakatare na kufanya ngono na waimbaji kwaya siku ya mkesha ijumaa mikocheni B. Ndiye aliyehamasisha Wakristo kujiunga na Deci na kuwatapeli
 
Kweli ushindi kwa CCM Igunga itabakia kuwa ni ndoto tu za akina Temba hao. Lingine lilokuambia tena bwana mkubwa??????

MCH. ALPHONCE TEMBA ALIOTESHWA NA MIUNGU YAKE JUU YA USHINDI WA SATA NA SASA AMEITWA NA SATA ZAMBIA :source Gzt Nyakati leo
 
Ukweli utabaki pale pale..
Hili la ushindi wa CCM wala haliitaji utabiri. CCM ushindi lazima
 
Yamebaki masaa machache DR wa fani ya ukweli atangazwe kuwa mbunge!
Yule mwalimu namuonea huruma sana. Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai
 
Mungu saidia uchaguzi uishe ke amani, na utupatie mwakkilishi uliyemchagua wewe, na si nguvu wala akili zetu!
 
Back
Top Bottom